Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

ukwel ni kwamba hukupima d.n.a
ukweli n kwamba kuna mtoto si wako
hakuna namna mlee tu

Kama mtoto alishaambiwa ni wako wewe chukua hiyo
Hayo mambo mengine achana nayo..... miaka yenyewe ya kuishi 70 tuu na sasa umebakisha robo yake bado unajitaabisha😂
 
Mimi namwambia ukweli
Haya mambo sio ya kuchokonoa na kujitapa
Oooh hooooo
Kwasasa Usemacho Ni Kweli Kabisa, Yaani Kutulia Ni Muhimu Yaani Siri Za Ndoa Na Watoto Ni Nyingi
 

Mtoto akishaambiwa ni wako unatulia
Mwenye ubavu aje akusumbue umshughulikie
 
Kuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
Hawezi kutamka huo ujinga mkuu. Utakuwa umebuni au umesikia stori za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…