Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Ututaarifu kila hatua.
Itakua vizuri sana.
Afu wee Boya nini

Sasa Screenshots za nini
Acha uboya ww
Kula Mali kimya kimy
Afu huyu ni Bwege eti
Hilo Demu nalo jinga nini ?
Boya kama ww linapeleka wapi
Mamaque
 
Hopes mko poa wana mmu


Ningependa kutoa mrejesho

Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike

Ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja pm walishindwa kuvikidhi but i don't regret it.
nimefanikiwa kumpata huyu rafiki ambae tumepata kuwasiliana for almost 3 weeks now and good enough ana match vigezo vyote vya rafiki niliyekua nikimuitaji..She's very charming, mcheshi, mpole, msomi halafu mrembo mno., .,,.

Nikiwa na stress yoyote sikawii kumcheki na kunicalm down.. ndo lilikua lengo langu la kutafuta rafiki wa kike & am very grateful for that.

Last weekend nilikua na shida ya kubook flight ya kwenda mkoa nikamcheki night kali maana nilipata emergency akanifanyia booking kesho yake nikaamkia tu safari pasi na shida yoyote. Thanks alot

najivunia kujuana na huyu dada, ni muda mfupi but seems like tumejuana muda sana..

Asante kwa kuwa mshauri mzuri kwangu

Thanks JamiiForums

Thanks mmu

Happy birthday [emoji3531]"J"[emoji3531]


better late than never
Muda si muda mtatibuana.
 
Ututaarifu kila hatua.
Itakua vizuri sana.
Afu wee Boya nini

Sasa Screenshots za nini
Acha uboya ww
Kula Mali kimya kimy
Afu huyu ni Bwege eti
Hilo Demu nalo jinga nini ?
Boya kama ww linapeleka wapi
Mamaque
Usisahau kuvua viatu unavolala mkuu.

Pole
 
Wapi nimeandika kwenye uzi kuwa huyo ni mpenzi wangu??

Ooh never kiss and tell sjui ukila usitangaze mara screenshots plus blaablaa nyingi


Punguzeni ujuaji na stress pengine nimewapiga gape kubwa mno kwenye izo mambo mi nawazoom tu af kwangu kumjibu mtu shit umu jf ni mwiko,,. regardless.

Smart Gang Mpasuaji wa Manesi MINOCYCLINE n.k ambao hamjaelewa lengo la uzi wangu
 
Naona wote mna chat kwa lugha ya bepari.
Anyway....... kama kuna alie bakia huko PM naomba unigawie mkuu..[emoji39]
Wapo wengi tu mkuu.

kaweke katangazo kako kule love connect utawapata,, bure kabisa
 
Back
Top Bottom