Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Wapi nimeandika kwenye uzi kuwa huyo ni mpenzi wangu??

Ooh never kiss and tell sjui ukila usitangaze mara screenshots plus blaablaa nyingi


Punguzeni ujuaji na stress pengine nimewapiga gape kubwa mno kwenye izo mambo mi nawazoom tu af kwangu kumjibu mtu shit umu jf ni mwiko,,. regardless.

Smart Gang Mpasuaji wa Manesi MINOCYCLINE n.k ambao hamjaelewa lengo la uzi wangu
Tunajua Lengo Kuu la huu Uzi wako ni kutuonyesha jinsi ulivyo Nut na Lumpen hivyo tunakushukuru.
 
Hopes mko poa wana MMU, ningependa kutoa mrejesho

Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike, ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja PM walishindwa kuvikidhi but i don't regret it.
Nimefanikiwa kumpata huyu rafiki ambae tumepata kuwasiliana for almost 3 weeks now and good enough ana match vigezo vyote vya rafiki niliyekua nikimuitaji. She's very charming, mcheshi, mpole, msomi halafu mrembo mno.

Nikiwa na stress yoyote sikawii kumcheki na kunicalm down. Ndio lilikua lengo langu la kutafuta rafiki wa kike & am very grateful for that.

Last weekend nilikua na shida ya kubook flight ya kwenda mkoa nikamcheki night kali maana nilipata emergency akanifanyia booking kesho yake nikaamkia tu safari pasi na shida yoyote. Thanks alot.

Najivunia kujuana na huyu dada, ni muda mfupi but seems like tumejuana muda sana.

Asante kwa kuwa mshauri mzuri kwangu.

Thanks JamiiForums.

Thanks MMU

Happy birthday [emoji3531]"J"[emoji3531].

Better late than never.

View attachment 2527931
Soon mnaenda next level [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Pole kwa mahangaiko mkuu

#Yatapita
NYE NYE NYEE

Napita asubuhi hii nyumba moja nakuta mwanamke anatukana "rudi kwa wanawake wako uko wewe mku ndu yaan umelala uko usiku mzima uko kwa wanawake zako ndio unarudi asubuhi hii wewe mku ndu..."

NDOA NI UTAPELI
KUA MAKINI KIJANA

#Yatarudi
 
Unatumia Infinix ama? Mbona kama umechati na kujijibu wewe mwenyewe?
 
Kama umeshapata rafiki uliyemtaka!!! Hayo ya mrejesho yametoka wap?
Nyie wakike kuna mtu anatafuta marafiki huku.
Ila arushemooo na tupicha picha,kama ameweza kurusha chat zao😂
 
Kuna maparody humu yana kila sifa za kike mpaka username ila ni midume..sasa jichanganye..
 
Wanasemaga enjoy the present, hayo yajayo ya kuhusu kuachana hayana mana kwa sasa
 
Nipe namba ya bloodie na mimi nikitaka ticket ya bus anifanyie booking😜😜
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kama umeshapata rafiki uliyemtaka!!! Hayo ya mrejesho yametoka wap?
Nyie wakike kuna mtu anatafuta marafiki huku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom