Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Na wewe unamsaidia nini?
 
Hongera zako. Mimi mwaka wa 3 huu bado sijampata.
 
Kimasihara on the flick
 
Mbaki ivoivo...mkisex tu mmeingiza mdudu tayari.....
 
Siyo roho mbaya mfalme wangu bali hivyo ndivyo maisha yalivyo. Si unajua kwamba jua la asubuhi siyo kali kama la mchana
Ni kweli Algore

Nmewah kuwa na rafiki yangu wa kike since tumeanza chuo mpaka tunamaliza ila alivohitimu tu alisafiri kwenda nje mawasiliano yakaanza kusuasua ndio maana nikaamua kutafuta mwingine wa kumreplace. We shared alot of things vingine vitabaki kuwa siri yetu wawili tu.

Nakuaga free kumshirikisha mambo yangu binafsi rafiki yangu wa kike kuliko mtu mwingine yeyote yule. nais ni fantasy pia

hopes jua litakua upande wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…