Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Kuna maparody humu yana kila sifa za kike mpaka username ila ni midume..sasa jichanganye..
Unachokisema ni kweli mkuu ingawa sijawah experience.

Huyu rafiki yangu anafanya kazi pale JNIA, nishameet nae zaidi ya mara 3

Nakupa mbinu..

Ukitaka kujuana na mtu wa jinsia tofauti na yako wasiliana nae kupitia whatsapp na video call lazima ihusike.
 
3 weeks sio?🤔
 
Mkuu kama hutojali niteueni niwe observer wa penzi lenu i promise sitaingilia kitu nita observe tu
 
Hongera mkuu, kila la heri.
 
Vingereza vingi ,hata kuandika sentence iliyonyooka ya kiingereza Moja hamuwezi....code mixing kiswaengilish....
 
Mi kuna rafiki yangu hayumo humu seriously anatafuta mchumba amuwowe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…