malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu
Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip ya Panadol hadi kufikia asubuhi bado iko hivyo hivyo kutetemeka sana kuchoka sukari iko 16 kapewa tena drip.
Mgonjwa alikuja akiwa hali mbaya akawekwa ICU siku 2 sukari ikiwa 34 akatoka akawa yuko poa tu ila sukari ikawa inacheza asubuhi 12 akila inaenda 17.
Sukari ilimletea sumu ila sumu ikatolewa yote akawa poa anatembea mnapiga
Sasa joto lake linaongezeka anatetemeka sana anahema sana mwili unaishiwa nguvu
- Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34