Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

Hakuna kitu hapo, wanawake wanaotafuta sana pesa hawajui mapenzi wala!🤣
Wee mzee mi sitaki kesi ujue..!! 😹😹
Nisije kukufanyia interview ukagawa mali za familia ulizochuma na mkeo ooohh..!! 🤣
 
Wee mzee mi sitaki kesi ujue..!! 😹😹
Nisije kukufanyia interview ukagawa mali za familia ulizochuma na mkeo ooohh..!! 🤣
Wapi ulipna mkinga anajua mapenzi, hana tofana mchagga, labda kama ulikulia tandale
 
Wapi ulipna mkinga anajua mapenzi, hana tofana mchagga, labda kama ulikulia tandale
Hapo kuna ka ukweli, ujue wanawake wengi mafundi kitandani ni wasiokuwa na pesa..!!
Wanatumia ufanisi wa ngono kujikimu kimaisha..!! 😥😹😹

Anajua mbabu km wewe akikuonyesha manjonjo utampunguzia ugumu wa maisha..!!
Sa mimi najua mirija ya pesa inavyotegwa nianze kujichosha ili nigundue nini?? 😹😹
 
Siku hizi wanawake wana situationship ambazo akipata uhakika anasepa na kukuacha kwenye mataa. Tulizoea sisi wanaume tunafanya hivyo ila hadi wanawake wamekuwa watu wa matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…