Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

Siku zote, ukioa Nyumba ya familia ni Nyumba ya mwanamke.
Kaa ukijua hilo.
 
Mkuu Ishi nae kwa machale sana ..
Ivi karibuni tunaweza kuandika RIP

Kauli ya “nipe muda nifikirie”
Sio kauli ndogo
Tayari kuna mtu wa tatu ameingilia hapo katikati
Hafikirii bali anakwenda kwa yule mtu wa tatu kuomba ushauri
Majibu unayo sasa
Rip mbuzi….!
 
To yeye huyu siyo ambaye nilikuwa nasoma comments zake na kuziafiki.
Tangu ubadili avatar umebadilika kimawazo nahofia.
Hivi unajuwa kuwa mwanamke anaweza kurubuniwa na mwanamme hata kuweza kumdedisha mume wake wa ndoa na akakubali? Kama hiyo anaweza basi hata juu ya hofu ya mtoa mada anaweza kabisa.

Acha mume amiliki nyumba kwa faida ya familia (watoto wao). Mkuu Fuatilia maelezo na matukio yanayohusu Joyce et al. Hapa ndipo shaka inapoanzia.
 
Excellent mkuu.
 
Ushauri wangu, andikeni majina ya watoto. Mkuu Kama ukiandika jina lako ikitokea Ndugu zako hasa dada zako na mama wakakosa utu kwa wanao ni rahisi wanao kudhulumiwa. Akiandika jina lake pia Kuna scanario mwanamke anapata mchepuko au mwenza baada ya wewe kutokuwepo huyo jamaa akapambana kumshawishi wapadilishe umiliki au hata jamaa achukulie mkopo. Ili mgogoro huu uishe na mkeo asione kuwa umemdhulumu kiwanja chake andikeni jina la mtoto mmojawapo ili ilionekane kwamba na wewe si mbinafsi bali unapambana kwa ajili ya future ya watoto wenu.
 
Mkuu kwa ushauri wako huo ndoa itakuwa wapi nikifanya hivyo?
 
Ushauri wako unasound kidogo mkuu lakini yeye amekataa kabisa tusiwaandikie watoto kwasababu wakifikisha miaka 18 wanaweza kudai nyumba yao!
 
Ushauri wako unasound kidogo mkuu lakini yeye amekataa kabisa tusiwaandikie watoto kwasababu wakifikisha miaka 18 wanaweza kudai nyumba yao!
Lakini mkuu nyie mkitangulia mbeye ya haki kabla ya watoto hiyo nyumba si itakua yao vilevile.

Yaani hadi watoto wenu hamuwaamini, aisee ni hatari hiyo
 
Achana na huu ushauri wa huyo bidada mkuu , utakufa kabla ya siku zako au uje kuua .
 
Hapo naona kila mtu kambale, mwanamke anasema nikajifikirie!! Dadadeki
 
Hawa wanawake wa siku hzi bana tofauti kabisa na mama zetu. Anakuja kwako huku anajihami kikinuka tu nasepa. Huyo mwanamke asiandike jina lake kwenye nyumba mnyooshe ashike adabu yake. Yeye ameolewa hajakuoa tena bila shaka nadhan ni muhaya huyo
 
Bora i fall apart tu kama ni hivyo. Nyooo eti muachie tu hiyo nyumba. Mafi.wewe[emoji38]
 
 
Mm nimemuachia kila kitu hadi nimeanza upya mambo ya kesi siwezi nimechukua begi niko shamba NAJUA WANAUME HAWANIELEWA MAISHA NI MAPFUPI SANA HAKUNA ANAYEJUA KESHO YAKE MNAGOMBANIA UMILIKI WA PROPERTIES MNAISHIA KUUANA Yanini mie
Bwege mkubwa wewe
 
RIP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…