chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Kwenye kichwa cha uume.hiyo BBE lotion umepewa kwa ajili ya kupaka eneo gani la mwili?
wanafanyaga sifa ila kuandika wanajua vizuriIpo haja muandiko na madaktar wamalize tofauti zao.
Hiyo ni nini umekutwa nayo hadi wamekuandikia Sindano Na Metronizadole?.
UTI?.
BBE lotion kwenye kichwa cha uume?,, hebu ngoja aje atueleze vizuriKwenye kichwa cha uume.
Ameota vipele . Ila haviwashi na havina maji maji.
Dokta kasema Nina UTI 500 🤔Ipo haja muandiko na madaktar wamalize tofauti zao.
Hiyo ni nini umekutwa nayo hadi wamekuandikia Sindano Na Metronizadole?.
UTI?.
After this jiandae kwa KUBWA KULIKO.. kapime miezi mitatu baadaeWakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
View attachment 3655499
Dr amenipa hiyo baada ya kumwambia mwili unawasha kama vipele hivi. Kwenye kichwa chamboo Kuna vipele/vidonda viwili japo haviumi ila hajasema hiyo lotion nipake hapohiyo BBE lotion umepewa kwa ajili ya kupaka eneo gani la mwili?
sawaDr amenipa hiyo baada ya kumwambia mwili unawasha kama vipele hivi. Kwenye kichwa chamboo Kuna vipele/vidonda viwili japo haviumi ila hajasema hiyo lotion nipake hapo
Umekwenda kutibiwa vichochoroni majibu na dawa zinaandikwa kwenye A4.Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
View attachment 3655499
Pole mkuu.Dokta kasema Nina UTI 500 🤔
Sioni kama hili ni tatizo.Umekwenda kutibiwa vichochoroni majibu na dawa zinaandikwa kwenye A4.
Nina mashaka na hivyo vipimo na hata huyo alieandika dawa. Afya ni jambo nyeti sana kafanye vipimo sehemu zenye viwango vinavyoeleweka.
Afadhali umemjibu weweSioni kama hili ni tatizo.
pia sikuhizi Test Kits ziko za kila aina.
Hapo wametest magojwa ya Zinaa kwenye test kits na ikaonyesha Non-reactive.
Sasa hata kama Majibu yangeandikwa kwenye printed paper yenye Logo ya Hiyo hosp. Bado test kits wangetumia hizo hizo na majibu yangekuja hayo hayo.
Na hapo kwenye mkojo wala hakuna mbwembwe nyingi.
Yaamini hayo majibu.
Dah yaan unataka tu niseme. Kwan ww hujui? .daktar wa mchongo😅😅
yeye sio mende ukimaanisha nini?
walah sijuiDah yaan unataka tu niseme. Kwan ww hujui? .