Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

😆😆 aku mi siwezi kumwambia labda wew
Ataruka kama kichaa au kuku aliekatwa kichwa,akumbuke kufunga mlango tu wa chumban ili hamadi asijikute yupo nje akiwa mtupu huku kashikilia dudu!!
 
😆😆 ndo maana na mimi nimemuuliza hiyo BBE anaipaka eneo gani la mwili akanijibu vinini sijui
 
Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
View attachment 3655499
Acha kwenda kwenye dispensary kupima nenda zahanati au hizi polyclinic.
 
Sioni kama hili ni tatizo.

pia sikuhizi Test Kits ziko za kila aina.
Hapo wametest magojwa ya Zinaa kwenye test kits na ikaonyesha Non-reactive.

Sasa hata kama Majibu yangeandikwa kwenye printed paper yenye Logo ya Hiyo hosp. Bado test kits wangetumia hizo hizo na majibu yangekuja hayo hayo.

Na hapo kwenye mkojo wala hakuna mbwembwe nyingi.

Yaamini hayo majibu.
Sio kweli nilishakwenda pima nikaambiwa Nina UTI na malaria mbili nikaenda pima kwenye hizi polyclinic wakaniambia sina hayo magonjwa ni mwili tu umechoka.
 
kwanini uwe na speed daktar?, tulia andika vitu vieleweke bwana
Nimetoa sababu moja hapo kuwa wagonjwa wengi muda mchache.

Atulie wakati kuna mgonjwa anavuja damu amepata ajari daktari huyu anatakiwa kumuhudumia.

Atulie alembe mwandiko wakati kuna mama yuko na uchungu kwa muda mrefu , mtoto ameshindwa kupita . Anatakiwa kwenda kumfanyia upasuaji akichelewa tunapoteza mtoto hata wakati mwingine na mama pia..

Atulie andike vizuri wakati kuna mtoto amebanwa na pumu anatakiwa kuonwa na kupewa matibabu.

Atulie aandike vizuri wakati kuna binti kameza sumu nae anahitaji huduma.

Atulie aandike vizuri wakati wodi ina wagonjwa 50 wote anatakiwa awaone maendeleo yao, aeleze maendeleo na matibabu wanayopata.

Katika wagonjwa hao wote Daktari anatakiwa aandike maelezo(clinical notes).
Amsikilize mgonjwa kwa umakini na ampe Tiba inayomsitahiri.

Jambo zuri ni kwamba karibu mara zote huo mwandiko hua unaeleweka kwa wahusika ambao ndio wanatakiwa kuusoma.
Mara chache sana mwandiko ukiwa haueleweki ndio anatafutwa Daktari aeleze kaandika nini, i
 
Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
View attachment 3655499
Nenda sehemu nyingine kapime
 
Nimetoa sababu moja hapo kuwa wagonjwa wengi muda mchache.

Atulie wakati kuna mgonjwa anavuja damu amepata ajari daktari huyu anatakiwa kumuhudumia.

Atulie alembe mwandiko wakati kuna mama yuko na uchungu kwa muda mrefu , mtoto ameshindwa kupita . Anatakiwa kwenda kumfanyia upasuaji akichelewa tunapoteza mtoto hata wakati mwingine na mama pia..

Atulie andike vizuri wakati kuna mtoto amebanwa na pumu anatakiwa kuonwa na kupewa matibabu.

Atulie aandike vizuri wakati kuna binti kameza sumu nae anahitaji huduma.

Atulie aandike vizuri wakati wodi ina wagonjwa 50 wote anatakiwa awaone maendeleo yao, aeleze maendeleo na matibabu wanayopata.

Katika wagonjwa hao wote Daktari anatakiwa aandike maelezo(clinical notes).
Amsikilize mgonjwa kwa umakini na ampe Tiba inayomsitahiri.

Jambo zuri ni kwamba karibu mara zote huo mwandiko hua unaeleweka kwa wahusika ambao ndio wanatakiwa kuusoma.
Mara chache sana mwandiko ukiwa haueleweki ndio anatafutwa Daktari aeleze kaandika nini, i
aya
 
Back
Top Bottom