Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

Ninauza kifaa cha kuscan mbususu yenye magonjwa ya zinaa kasoro ukimwi kifaa changu hakiwezi kujua.

Mwenye kuhitaji aje PM.
Bei laki moja.
 
Wakubwa mwili uneacha kuwasha, bado vile vipele viwili kwenyemboo bado vipo vinatoa kama maji maji bhivi kwa mbaaali, yaani kama unyevu ila haviumi
Dogo acha kupenda shortcuts!!!.Chakwanza jua wewe una MAGONJWA YA NGONO MCHANGANYIKO.

Hizo hospitali za uchochoroni,zinawapotezea muda na rasilimali pesa!!!

Shida taaluma ya udaktari nayo imevamiwa, huyo doctor aliyekutibu ni kichwa panzi,kopo tupu, useless,product ya BRN!!! ameshindwa kuyasoma majibu ya maabara na kukuhudumia stahiki kulingana na maelezo yako sambamba na majibu ya maabara.

📌🔨DAWA ZIPO NA UNAPONA KABISA ILA FATA PROPER CHANNELS, WATU WAMESOMA MIAKA 5 NA KUENDELEA, ACHENI DHARAU NA ELIMU ZA WATU.HAKUNA BUREBURE!!!

📌TAFUTA HELA UWENDE HOSPITALI KAMA AGA KHAN, BOCHI. KAMA UPO DSM.

📌MATIBABU YA ONLINE YATAKUPOTEZA NA SIO MAHALA PAKE.NI UDHALILISHAJI WA ELIMU YA UDAKTARI NA UFAMASIA.
 
Dogo acha kupenda shortcuts!!!.Chakwanza jua wewe una MAGONJWA YA NGONO MCHANGANYIKO.

Hizo hospitali za uchochoroni,zinawapotezea muda na rasilimali pesa!!!

Shida taaluma ya udaktari nayo imevamiwa, huyo doctor aliyekutibu ni kichwa panzi ameshindwa kuyasoma majibu ya maabara na kukuhudumia stahiki kulingana na maelezo yako sambamba na majibu ya maabara.

📌🔨DAWA ZIPO NA UNAPONA KABISA ILA FATA PROPER CHANNELS, WATU WAMESOMA MIAKA 5 NA KUENDELEA, ACHENI DHARAU NA ELIMU ZA WATU.HAKUNA BUREBURE!!!

📌TAFUTA HELA UWENDE HOSPITALI KAMA AGA KHAN, BOCHI. KAMA UPO DSM.

📌MATIBABU YA ONLINE YATAKUPOTEZA NA SIO MAHALA PAKE.NI UDHALILISHAJI WA ELIMU YA UDAKTARI NA UFAMASIA.
Kwani nimepewa dawa online mbona unaleta dharau Mzee unaniita Dogo unanijua.
Kwahiyo ukienda agha Khan ndiyo Kuna tiba tu za uhakika ila hospital zingine hakuna tiba za uhakika
 
N
Dogo acha kupenda shortcuts!!!.Chakwanza jua wewe una MAGONJWA YA NGONO MCHANGANYIKO.

Hizo hospitali za uchochoroni,zinawapotezea muda na rasilimali pesa!!!

Shida taaluma ya udaktari nayo imevamiwa, huyo doctor aliyekutibu ni kichwa panzi,kopo tupu useless,product ya BRN!!! ameshindwa kuyasoma majibu ya maabara na kukuhudumia stahiki kulingana na maelezo yako sambamba na majibu ya maabara.

📌🔨DAWA ZIPO NA UNAPONA KABISA ILA FATA PROPER CHANNELS, WATU WAMESOMA MIAKA 5 NA KUENDELEA, ACHENI DHARAU NA ELIMU ZA WATU.HAKUNA BUREBURE!!!

📌TAFUTA HELA UWENDE HOSPITALI KAMA AGA KHAN, BOCHI. KAMA UPO DSM.

📌MATIBABU YA ONLINE YATAKUPOTEZA NA SIO MAHALA PAKE.NI UDHALILISHAJI WA ELIMU YA UDAKTARI NA UFAMASIA.
ingeenda duka la dawa asili pia mngesema niende hospital, Sasa nimeenda hospital mnasema pia eti niende aga Khan, ningeenda huko mngesema bongo jau niende india
 
Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
View attachment 3655499
Dogo scabies hiyo tafuta dawa SCABOMA.
Ma DR. Wengi hawahuhi watakupa BBE unspoteza muda taduta Scaboma aina bei pska mara moja kwa siku dawa mwili 24hrs hakuna kuoga.
Guo zote fua na maji ya moto. Uanze upya.
 
Back
Top Bottom