APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,278
- 12,584
Akimaanisha yeye sio mfiraji.daktar wa mchongo😅😅
yeye sio mende ukimaanisha nini?
Akimaanisha yeye sio mfiraji.daktar wa mchongo😅😅
yeye sio mende ukimaanisha nini?
Nilikutana naye kwenye mkesha wa kinabii, siyo barmaidAcheni kutomba mabaamedi
Ningeenda Agha Khan ndiyo ingependeza au Hospital ya MzenaUmekwenda kutibiwa vichochoroni majibu na dawa zinaandikwa kwenye A4.
Nina mashaka na hivyo vipimo na hata huyo alieandika dawa. Afya ni jambo nyeti sana kafanye vipimo sehemu zenye viwango vinavyoeleweka.
Sawa, basi anza dozi ya PEP fasta. Kuhusu wasiwasi wako rudi hospitali kaongee na doktaNilikutana naye kwenye mkesha wa kinabii, siyo barmaid
😊😊😊😊walah sijui
Ndio 😊😊😊😊
umeanza vizuri ila hapo mwisho sasa khaaa😅😅 sasa kama sijui kitu nisiulize?,,😊😊😊😊
Ndio 😊😊😊😊
Mwanaume kupata UTI ni adimu.
Ila wanaosafisha mitaro lazima kuna siku kitawalamba.
Utasema kusafisha mtaro na yenyewe hujui?.
Alafu Msabato unajidai wife material ww.
Haya bana.
Wanaumwa ila nadra.umeanza vizuri ila hapo mwisho sasa khaaa😅😅 sasa kama sijui kitu nisiulize?,,
kwahiyo wanaume hawaumwagi UTI?
lakini how did you know kwamba nadekaðŸ˜ðŸ˜ª,, ndio hizo sababu nazijua usizitaje,,,Wanaumwa ila nadra.
Mwanamke kupata ni rahisi kwa sbabu ambazo hata ww unazijua. (Na hizi sitaji , uache kudeka , hizi unazijua 😊😊😊😊).
Ila sasa Mwanamke akiwa na UTI hawezi muambukiza mwanaume kwa njia ya Sex.
sasa mazingira gan mwanaume anajiexpose nayo hadi kupata UTI?.
Moja ya hayo mazingira ni kugusisha Uume na taka mwili mfano Kinyesi nk.
Ila mtoa mada naona ni muoga muoga huyu, sidhan kama ana kifua cha kupakua tope.
Hyo lotion akapake,asisahau kutupa mrejesho..usisahau kumwambia awe karibu na feni au mtu wa kumpuliza baada ya kuipakaBBE lotion kwenye kichwa cha uume?,, hebu ngoja aje atueleze vizuri
Sio sifa.wanafanyaga sifa ila kuandika wanajua vizuri
Hauwezi.ni nadra ila wanaumwa si ndio?,, kwahiyo mimi nikiwa na yutiyai sugu siwezi kumuambukiza ba mtu?
eh wew unao ujasiri wa kupakua tope?😎
kwanini uwe na speed daktar?, tulia andika vitu vieleweke bwanaSio sifa.
Ni matokeo ya kuhudumia wagonjwa wengi muda mchache.
Daktari anatakiwa awe na speed kali ili kufanikisha hilo.
Mwisho wa siku ubongo na mkono vinazoea kuandika hivyo.
Hata kama ni mgonjwa mmoja tuu, anajikuta anaandika hvlivyo.
Ila wapo baadhi licha ya kuandika kwa haraka sana bado wameweza kutunza miandiko yangu mizuri.
Inawezekana pia wapo wachache wanaodhani ni sifa kuandika hivyo.
😆😆 aku mi siwezi kumwambia labda wewHyo lotion akapake,asisahau kutupa mrejesho..usisahau kumwambia awe karibu na feni au mtu wa kumpuliza baada ya kuipaka
muone 😆Hauwezi.
Utamuambukiza magonjwa mengine ya Ngono. Ila sio UTI.
kama nakuona unavyosubiria kwa hamu hili jibu.
Nikuambie tu. Mm huwa nina tatizo hasa hasa mchana, kuna aya zinazondikwaga JF huwa sizionagi .
Mfano hiyo aya yako ya mwisho sijaiona kabisa 😂😂😂😂.
Natania Ma mtu.
Nina ujasiri ndio ila sifanyagi huo mchezo.
Kwamba hali D2 zenuwalah sijui