Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

Kwani nimepewa dawa online mbona unaleta dharau Mzee unaniita Dogo unanijua.
Kwahiyo ukienda agha Khan ndiyo Kuna tiba tu za uhakika ila hospital zingine hakuna tiba za uhakika
📌We kiazi njoo taratibu sikujui ila kwa kutaka kwako matibabu mtandaoni.Inaonyesha bado hujajua thamani ya afya yako na thamani ya mwili wako kiasi unajamiiyana hovyohovyo na wanawake wachafuwachafu!!!

📌Wewe ni dogo acha kuvimba kijana.Wewe ungekuwa mtu wa makamo kama sisi mabro zako ungekuwa ushaelewa nini umekumbana nacho na vipi ukikabili.Ila kwasababu huna uzoefu kwenye hizi mbaga kaa tukupe mbinu bwanamdogo.

📌🔨Alafu huna hela ndio maana unaintertain cheap treatment za kusikia huku mitandaoni na kwenda hospitali /vizahanati vya uchochoroni ambavyo wanaajiri INCOMPETENT DOCTORS AT LOW WAGES WITH ZERO STANDARDS!!!
 
N

ingeenda duka la dawa asili pia mngesema niende hospital, Sasa nimeenda hospital mnasema pia eti niende aga Khan, ningeenda huko mngesema bongo jau niende india
Humu ndio utapotea zaidi maana kuna kila aina ya ushauri!!!

Cha msingi unatakiwa kujua bwanamdogo ni kuwa hata madokta wanatofautiana uwezo na maarifa, hospitali na vifaa.Hospitali nilizokutajia wanastandards za huduma bora na wanaajiri madaktari wenye viwango.

📌📌Kwa wazoefu wa kuzagamuana tunakuonea huruma sana dogo😄😄😄.Wewe utachelewa sana kupona na hata ukipona mwili utabaki na makovu ambayo uzeeni yatakusumbua!!!Sikutishi ila nakupa uhalisia ili ukapate tiba sahihi na usimuache huyo kibwengo wako aliyekuambukiza ili asiendelee kuwaambuliza wengine!!!
 
Back
Top Bottom