Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Sa aibu yake kwa washkaji ulirudi vipi?Wazembe sana hao jamaa iliwahi nikuta pia nakumbuka nilipaki nikaaga hadi washkaji 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa aibu yake kwa washkaji ulirudi vipi?Wazembe sana hao jamaa iliwahi nikuta pia nakumbuka nilipaki nikaaga hadi washkaji 😂
Heeeee 😂😂😂😂Mimi alikuwa ni mdada, aliandika Uzi mrefu Sana kwamba kwa tatizo lake lilipofikia anaona tu bora afe.... Nikaguswa nikamfata pm kumuuliza Shida Nini akaniambia amepata ajali amevunjika mguu hawezi hata kutembea na hela hana ya kwendea hospital, nikaona story kama haimake sense flani hivi, nikamuhoji hoji akabadili akasema ni mama yake kijijini na sio yeye.
Nikaanza kuwaza huyu atakua ni tapeli, nikamwambia nitakusaidia hatakama ni wewe na mama yako wote mpo ndani ya uwezo, nendeni hospitali wawape control namba niwalipieni, akakataa akaanza na kunisema eti Kama Sina hela au Kama sitaki kumsaidia nisimchoshe anaadika huku anaumwa... Nikamwambia tu sawa nikaachana nae., Baada ya sikumbili nafungua pm nakutana na matusi hayo page nzima
Nilichekwa sana hiyo jioni nilivyorudi nikawasimulia maana hadi nilipokuwa nafanya kibarua niliacha 😂Sa aibu yake kwa washkaji ulirudi vipi?
Mkuu! Usiweke wazi mambo yako! Ongea kwa ujumla na chambua tekeleza kisirisiri! Waliofanikiwa kibiashara hawawezi kukwambia wamefanyaje mpaka wakatoboa! Watakwambia kiujumla! Sasa wewe jianike utatuletea mrejesho!Habari Za uzima Wana jamii wenzangu,
Mimi ni Yule mdada nilieleta wazo langu kuhusu biashara Kwa mtaji mdogo WA laki tatu Tu. Nashukuru nmepata mawazo mazuri nmefatilia Kwa utulivu na nimesoma maoni ya kila mtu. Maoni yangu Nimeamua sasa kuuza biashara ya Matunda Na genge mpaka sasa nmefatilia process ya kupata eneo nmepata.
Sasa nafatilia utengenezaji wa Banda la kawaida tu ambalo naomba Mungu lisimalize laki moja Na mtaji wangu nataka ubaki Kama laki moja Tu hiyo ndo nitaanza nayo, matengenezo mengine nitatengeneza Kadri Mungu atavyonijalia.
Asante sana mmenifungua mawazo nilikuwa Nawaza Sana kitu cha kufanya, kila nikiwaza nashindwa kutokana mtaji kuwa Ni changamoto.
NB: Tuweni Makini humu ndani sio wote wema wakati nipo kwenye mchakato alitokea mtu huku DM akaahidi kunipa kazi nilifurahi Sana kazi yenyewe ni ya sheli Na akadai IPO Arusha. Kama kawaida mimi nilimsikiliza akaniunganisha Na meneja feki ili wanitapeli hela.
Ni story ndefu siwezi kueleza lakini mwisho wa siku huyu boss akaomba hela ya uniform kama sh laki 1 na elfu 30. Dah Mungu Yuko upande wangu sikufanikiwa kutuma, nadhani ningetuma leo ningekuwa Na majonzi mapya.
My take: Mtu kaomba ushauri afanye nini ili ajikomboe na Maisha Na utegemezi sasa usiwe Tena chanzo cha kumrudisha nyuma huyu mtu.
Asanteni na nawatakia siku njema
Pia, soma=>Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?
Kweli mfichue iwe faida kwa wengine! Watu wa hovyo kama hao hawafai kwenye jamii kabisa! Yani mtu anajitafuta af tena unataka kumtapeli kweli! Very shame!Mfichue kabisa ili asizidi kitapeli wengine.
Hiyo hiyo fursa niliambiwa kama una mtu wa karibu waweza mjulisha, nikamjulisha dada mmoja tulisoma wote advance, alipigwa 170K.Sa aibu yake kwa washkaji ulirudi vipi?
Duniani kuna watu wana roho mbaya sana! Imagine mtu ana mtaji wa laki tatu af tena anatokea mtu anataka tena kumtapeli! Huyo sio tapeli ni monster aisee🙌🏽🙌🏽Yaan ni dhambii
😂😂😂 wana walitaka kupita na pesa ya dada ya mtaji ‘300k
Alisema hivyo sababu alijua hawezi kufumga safari toka Dar mpaka Arusha kwenda kupeleka hela tuu, so lazima option ingekuwa kumtumia pesa tuu. Hiyo ni strategy ya kumwaminisha ili dada aone kweli ni seriousKwa screen shots ulizoweka,jamaa kasema kama huamini,alikutaka uende Arusha,ila ukiwa na hiyo pesa,lakini pia aliandika kua yawezekana baadhi ya watu wa uongozi pale sheli,wanataka walau pesa ya kula,ndomaana wamesema laki na 30 ya yunifom.Anyway huyo wiztech,aje ajitetee hapa kama hakua na nia ya kutapeli.Hii itamsafisha.
Vipi tena dadaNilishenzi sana hili lijitu linajiona eti linajua kuungishia watu kazi lina shida sana oh nakampuni sijui nini naweza kukupa kazi na yupo arusha nilikitu lishenzi sana nilitapeli liliniahidi kazi mwezi 6 na 11 kila muda ukifika ananiblock anadai humu nimtu tajiri sana kumbe marioo tu bora hata huyu mwingine alikuwa mshirikina ila hakuwa mwongo
Hebu ninong'oneze ni nani huyo?Amemtaja mbona
Soma huko juu bhana wamemtaja😃😃Hebu
Hebu ninong'oneze ni nani huyo?
Nioneshe basiSoma huko juu bhana wamemtaja😃😃
Haya, anaitwa wiztechNioneshe basi
KabisaaaNaunga mkono hoja mtani👍👏