Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Mmmh, wewe sio wakuchezea ,inaonekana upo vizuri kwenye kupuliza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke skia ,tafuta mwanaume maeneo hayo ulipo ,inama upigwe mashine ,pata mimba zaaa Lea mutoto yako saaaafi kabisa ,humu utakuja mwisho wa siku kupata kansa ya ubongo bure ,hakuna muoaji .
Zingatia Hilo mda unakwenda .ohoooo!!!? We zurura humu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mmh huu ushauri konki kweli kweli..aisee kumbe kuolewa ni lazima!
 
Yani huko unapofanya kazi na unapoishi usmekosa wote,, humu hauwez kupata mwanaume,,, harfu wakti mna miaka 25 huwa mnaringa Sana ikifika 30 mnaanza kutia huruma,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima ila kuna maana kubwa.
Hata ukifa usingizini taarifa zako za kifo zitapatikana haraka maana umelala na mtu tofauti na ukiwa alone
Mmh huu ushauri konki kweli kweli..aisee kumbe kuolewa ni lazima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…