Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri



Wakati mwingine ni vyema kujitahimini and learn from mistakes kuliko ku push tu, pengine una ya kurekebisha;
 
Umeeleweka,wengi naonaga wako kimasihara ila nimesoma uzi wako nahisi una kitu fulani.....
Anyway, kuna sifa kubwa sina hapo la sivyo ungenikuta pm huko


Alexander The Great
 
Dada usiwe desperate sana kutafuta mume!! Najua pengine wenzio wote uliosoma nao wameshaolewa isiwe sababu ya kufosi hivi
Muda ukifika hata ukiwa na 33 mr right will come
Kwa sasa ishi maisha yako jipe furaha ile uitakayo halafu ili jambo lipe muda kwanza
 
Vipi akishafika 33 na hajaona? Hapo ataruhusiwa kuwa desperate? Ushauri huu umamfaa iwapo tu amejiandaa kwa matokeo yote mawili...kupata au kukosa. Kama ndio wale wanaoamini kwa vyovyote vile ni lazima aolewe acha tu atafute mapema, akiibuka na furushi atapambana nalo mbele ya safari hitaji lake litakuwa limetimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya vyeti darasa saba.ila elimu ya mtaani chuo kikuu.nakunywa pombe ila sio mlevi.sivuti sigara wala bangi.ni mfupi maji ya kunde.karibu pn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu mwandiko mbona wa kiume jamani
 
ila ujumbe alishaupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sifa hujaweka hapo zina mantiki sana hujataja unataka mwenye Kibamia au lah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…