Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Katika maisha kuna vipaumbele, mimi kwa sasa hicho sio kipaumbele changu kwa hiyo hainipi shida kama hiyo unayoielezea. Jibu lile la kwanza nimekujibu unachotaka kusikia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera.
Mwwnyezi Mungu awasaidie mfikie malengo yenu.
All the best dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaani kwenu umekosa mpaka uje hapa ambapo hujui hata sura ya mtu? We kweli umedoda hata huko unakofanya kazi, unakopanga, uliosoma nao, waliokuwa wanakutangulia vidato kote huko umekosa? Hili ni balaa kubwa. Huna mashangazi, ma mdogo au jamaa wengine wakakuunganisha na vijana wanaowajua wametulia? Zamani Dada zetu walikuwa wanaolewa kwa namna hii. Vijana wako sema yawezekana una tabia zisizostahimilika. Ndo maana ukaja kujitangaza hapa jukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mzee umesahau ana vigezo, ukiona hivyo huko hajapata wa vigezo vyake!?

Vipi kama anawapata lakini sio serious, vipi kama anawaona lakini wao hawavutiki nae.

Ingekuwa sagula sagula mtumba labda saa hizi hata wewe ungekuwa ushapata!

Dada yangu kila kitu na wakati, wakati wako ukifika utapata, ongeza ibada tu, mola akuoe stahiki yako.
 
Hakika.
Nimekupenda bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…