Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

vigezo vingi sana,pengine labda umuumbe wa kwako ndio atafit condition zako zote hizo.

kwa sababu hata malaika hana hizo sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani komenti hii huwa imekukaa kichwani Mkuu.


Mbona hamna Mashariti hapo, tena anajitahidi kubalanc sana kwa wenye Elimu..wasio na Elimu........ Pombe Sigara ,ulevi NI HATARI KWA AFYA YAKO.


na wanawake wengi wanapenda wawe ma WATU wasokua wanywaji, wavutaji


Ivi anaanzaje kukupa busu zito kama mdomo unanuka Gongo /Bia /Sigara???



Ila aiseee wanawake waliolewa nahao WATU juu, wanavumilia Mengi sana.
 
Nimekupenda bure Carlos, it seems ni mwelewa sana, natamani nikupe hii nafasi [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakushauri kamata serengeti boy ila sio type ya Kina brown... Fanya nae maisha. Huku mtaani kwetu kuna wamama kama wa4 watu wazima waishi na vijana zaidi ya miaka 10 sasa , Sio wote tutaolewa na Agemate
Ukishindwa kabisa Weka hofu ya Mungu pembeni tafuta ndele
 
Wazanaki nao siku hizi mnatafuta wives kwa matangazo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…