Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Sasa wenye ngoma, kansa, n.k. kwanini wasiitumie hii chumvi kunuia uponyaji.. chumvi chumvi jamani, inaonekana ina manguvu kweli.. [emoji53][emoji53][emoji1321]‍♂️
 
Hakika mshana usemalo lipo na ni kweli mm ni shuhuda mzur wa chumvi. Nilikua ninasumbuliwa na ugonjwa x. Nikshangaika kwa mda katika kulizauliza jamaa akasema tafuta chumvi vhanganya na limau yaan kiukweli usiku mmoja tu asubui yake niliamuka na furaha yangu. Niliweza kuoga na kusafisha sehem husika kwa chumv kwel chumvi kiboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIKUSHAURI kabisa hutaona wachawi tuu utaona kila kitu kisichoonekana kwa macho ya nyama... Mwisho utaishia kuwehuka

Jr[emoji769]

Nazani kuna namna mbili tofauti:

1. Kuna kutaka kumuona mchawi yaani wakati anaporoga au kuwanga kama sijakosea , na

2. Kuna kule kutaka kumjua tu mtu fulani na fulani ni mchawi ili kusudi ujue kuishi nae kwa mipaka au ikibidi ujue namna ya kumkwepa.

Hapo unaonaje umbuje?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu sana kutenganisha hayo mambo mawili... Cha muhimu ni kujijengea tu kinga za kiroho kwakuwa ukiwaza sana mambo ya ushirikina utajikuta unashindwa kufanya mengi
Nazani kuna namna mbili tofauti:

1. Kuna kutaka kumuona mchawi yaani wakati anaporoga au kuwanga kama sijakosea , na

2. Kuna kule kutaka kumjua tu mtu fulani na fulani ni mchawi ili kusudi ujue kuishi nae kwa mipaka au ikibidi ujue namna ya kumkwepa.

Hapo unaonaje umbuje?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Mshana ndio nini kudesa topic ya chumvi ya wamama wanayotumia???

Kwa nini lakini

Unajua wanaume wanachomewa chumvi siku hizi?

Kudadadeki wananyweeeeeeeaaaa (sasa ushawaharibia)

Itabidi watumie kifuu cha nazi ya chumvi washaijua

Anyway

Habari yako lkn?

Mkuu mshana naomba unifafanulie hapo kidogo kusema wanaume wanachomewa chumvi ni kwa malengo gani?

Na je kama ni kwa malengo ya mapenzi inaweza kufanywa kinyume tukafanyia wanawake?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hayo nadhani ni mambo ya limbwata hebu ngoja BADILI TABIA aje atufafanulie

Samahani sikuzuona hizi

Ndio wanaume wanachomewa chumvi

Wenza went wanawanenea vile wanavyotaka muwe kwao...

Kama kumrejesha mwanaume aliyesepa

Kufanya mwanamke asikilizwe nk nk nk

Na vise versa is truuuuuuuueee

Mwanaume anaweza tumia pia kunuizia mwenza wake ( though wanaume si watumiaji kihivyo)

Hivi mnajua wanawake wanatumia mpaka mwiko wa chakula juu yenu??? Hii mada Mshanajr uwaletee siku nyingine

Back
Top Bottom