Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Kaka Asante sana kwa Darasa..... Naomba kuuliza,Nikiweka Chumvi kwenye ndoo ya lt 20 usiku kisha nikaoga Maji hayo Asubuhi..... Au ni vema kuweka hapo hapo kisha unaoga......?? Na Inatakiwa nioge kwanza Maji na Sabuni kisha nikitakata nijimwagie Yale ya chumvi...?? Je wakati wa kunuia natakiwa Ninuie wakati nimeshika Chumvi kabla sijaweka kwenye maji au Ninuie wakati shaweka kwenye Maji.....??
 
Haina shida kabisa.. Nuizia wakati unajimwagia maji... Unaweza kuoga kwanza maji ya juu kisha ukajisuuzia yale ya chini yenye chumvi
 
Umbuje kama nimekusoma vizuri ni kuwa baada ya kuweka chumvi ya mawe kwenye ndoo ya maji haipaswi kukoroga au kuchanganya yale maji na kwa Kopo la kuogea ili ile chumvi ya mawe iyeyuke na kukolea kwenye maji?

Naomba ufafanuzi
 
Sahihi kabisa lakini hata ukiyachanganya hakuna shida kwakuwa huweki kilo nzima
 
Uko vzr sana Mshana Jr. nimegundua kitu leo kwanini kanisa katoliki hubariki maji kwa kuweka chumvi na waamini hutumia kunyunyuzia majumbani! Good mshana!
[emoji120][emoji120][emoji109]am humbled...!!! Napokea kwa unyenyekevu mkuu
 
Naomba niendelee kujibu hapa
Chumvi sanasana itakusaidia tu kukukinga na mambo mabaya ama nguvu hasi, huku ikikusafisha na kukupa mvuto
Chumvi haifanyi mambo mabaya kama kulipa visasi nk, labda tu uitumie kishirikina
Kwenye kunuia mambo mema chumvi inawekwa kwenye maji, maji ni uhai, kwenye kunuia mambo mabaya chumvi huchomwa moto, moto ni kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana mkuu unaweza kuitumia chumvi vile vile kurudisha kisasi ama kumharbia mtu mambo yake??
 
Mwili uliochafuka hupata shida nyingi za magonjwa uchovu na fadhaa na hata usingizi huwa wa mang'amunga'amu,.... Kiasili mtu anapolala hupaswa kulala kabisa ili kuupa nafasi mwili kujipumzisha, lakini kutokana na makandokando mengi ya kidunia, wengi hawalali vizuri.... Hivyo unapoanza tiba ya chumvi na mwili kuanza kusafishika utayaona mabadiliko hasa kwenye kulala... Yani utapata usingizi mzito hasa! Usiogope usitishike ni jambo la kheri hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumiz yake yapoje unaoga tu cku yoyote ama?? Na unaoga mara ngap
 
Back
Top Bottom