Kwani MUngu unaweza Ku prove uwepo wake kisayansi ?HUU NI USHIRIKINA PIA MKUU........HAKUNA UHUSIANO WOWOTE WA KISAYANSI KATI YA CHUMVI NA HIZO TIBA UNAZOSEMA................MKUU MSHANA JR, WEWE UNAHESHIMIKA SANA HUMU NA POST ZAKO ZINAKUWA VIEWERS WENGI.
KUWA MAKINI IBILISI ASITUMIE KIPAJI CHAKO VIBAYA.
WAAMBIE WATU WAMTEGEMEE MUNGU...
Na ukishaweka hiyo ndoo ya lita 20 ni lazima uyaoge yote hayo maji mkuu au unaweza kuwa unamiminakidogo kidogo kadri ya kipimo chako cha kuoga
Lita 10 haifai maana kuoga lita 20 sio mchezo.Lita 20 za maji kiganja kimoja
Ndio lakini kubwa [emoji1] ukifanya ile ya ndoo ndogo lita 10 vipi?Mmh si ndoo moja tu hiyo!
Very interesiting,
lakini inakaa kama kuna uzi mwingine unaongelea hii ishu,maana huu uzi hausemi mtu anaogea chumvi ili aweje,
apate usingizi mnono,aondoe mikosi au vipi,ndo maana kuna mtu aliomba link ya huo uzi wa tiba ya chumvi na sijaona response ya kueleweka
Kwan uko wap