Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Hivi mnajua wanawake wanatumia mpaka mwiko wa chakula juu yenu??? Hii mada Mshanajr uwaletee siku nyingine [emoji44][emoji44][emoji44][emoji102]
 
Huwa natumia chumvi kulinda Shamba, Ila huwa na mwaga Chumvi Mara tatu tu. Je inapaswa niwe namwaga kuzunguka Shamba muda wote wa mazao Hadi navuna au inatisha hiyo Mara tatu.
 
Huwa natumia chumvi kulinda Shamba, Ila huwa na mwaga Chumvi Mara tatu tu. Je inapaswa niwe namwaga kuzunguka Shamba muda wote wa mazao Hadi navuna au inatisha hiyo Mara tatu.
Si lazima sana.. Mwaga kwenye pembe zaidi
 
Vyote sawa tu.. Hata katikati pia na hata ukichanganya na maji
Ahsante Mkuu. Mshana, nimeona sehemu umeeleza kutakasa Shamba. Hii inamaana Ile chumvi unayomwaga shambani kulinda shama unaweza kutumia hiyo hiyo kutakasa.? Yaani unanuwizia kutakasa na kulinda Shamba wakati huohuo?
 
Yeah kote kote tumia chumvi hakuna shida kabisa
 
Mada nzur sana muda wote wakt wotee mm ntaogea na Ukiwezekaan. Nafua kbsaa na nguo zangu kwa maj Yale ya Chumv je kuna hatar yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…