Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Mkuu Mshana Jr tupo pamoja kuhusu matumizi ya kuogea maji yenye chumvi.
Je, yapi ni matumizi sahihi ya kutumia chumvi kama zindiko kulinda shamba na nyumba.
Naomba ufafanuzi kaka
Mwagia kavu au ukiwa umechanganya na maji katikati na kwenda pembe zote za shamba ama kiwanja au nyumba... Pia unaweza kumwagia kwa kuzunguka
 
Tiba Pekee ni Jina la Yesu Kristo wa Nazareth
Hakuna sehemu ambayo Yesu alitumia Chumvi Kuponya au kutakasa watu!!

Hata Mitume walioachwa wale 11 na Paulo
Hakuna mahali ambapo,waliombea watu au walitakasa watu kwa kupitia Chumvi!!

Matumzii ya Chumvi ni USHIRIKINA
 
Aisee okay sawa haya asante kwa kuchangia
 
Mathayo 5;12-13,Marko 9:49-50,Mambo ya walawi 2;13,Waamuzi 9:45,2Wafalme 2:20-21 na vngne vingi!!tusiambiwe ambiwe tu na hawa "mitume" na "manabii" wenye sauti nzito nzito,tusome biblia & Quran (waislam) majibu yote yamo humo
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji116][emoji116][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123]nimeanzisha mada ili iwasaidie wengine. Kuacha kujibu ni kukimbia wajibu na kutotenda haki
Nakupongeza kaka mshana kwa kujibu maswali bila kuchoka aisee mimi nisingeweza

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji116][emoji116][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123]nimeanzisha mada ili iwasaidie wengine. Kuacha kujibu ni kukimbia wajibu na kutotenda haki

Jr[emoji769]
Kaka Mshana, kwanza asante kwa mada yako nzuri na kwa kujitolea kusaidia watu. mm naomba kufahamu zaidi ni namna gani chumvi inaweza kutumika kuzuia watu wabaya wasiharibu mazao shambani. Na je hiyo chumvi unaitumia wakati ukiwa umepanda tayari au bado ukiwa hujapanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itumie nyakati zote na inasaidia sana kwenye ishu za KUKOPEA mazao... Unalima wewe wanavuna wengine
Jr[emoji769]
 
Although salt is powerful in historical and metaphorical terms, its spiritual power often goes unnoticed. Spiritually speaking, salt is considered the great neutraliser. It can help cleanse, heal and balance energy, while repelling negative vibrations. ... Rock salt helps in clearing up this residue to a great deal.

Jr[emoji769]
 
Wewe dingi nimetumia hiyo chumvi mwezi sasa mambo sio mabaya ila mvuto umeongezeka daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mathayo 5;12-13,Marko 9:49-50,Mambo ya walawi 2;13,Waamuzi 9:45,2Wafalme 2:20-21 na vngne vingi!!tusiambiwe ambiwe tu na hawa "mitume" na "manabii" wenye sauti nzito nzito,tusome biblia & Quran (waislam) majibu yote yamo humo
Sasa sisi ambao hatuamini biblia wala Quran unataka tusitumie pia. Kama wewe huamini hayo ni matatizo yako usitake kupangia watu nini cha kufanya hapa mjini wewe pambana na hali yako tu vifungu vyako hivyo.
 
Sasa ikiwa mtu ni mgeni hajawahi kuja huko Nazareth anafanyeje?
Au utupie hapa namba za simu za huyo mganga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…