Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

Ungeandika story kidogo ya usalitii ilivyo tokea kwenye comment tujuee maana sio kila mtu ali soma

Sent using mt4 app
Yani kiufupi yuko huru kutoka hta usiku

Na mara zote tangu tumeanza mahusiano yeye huwa ni mtu wa kulala mda umeenda sana na alinambia kashazoea labda awe anaumwa sana so juzi usiku nilimtxt saa mbili usiku hakujibu ila ujumbe ulifika,nilipoona kimya nikapiga simu haikupokelewa

Amekuja kujibu jana saa tano asubuhi hata sijamuuliza akadai eti alilala mapema sana jana afu muda huo saa tano asubuhi ndo anaamka na sio kawaida yake kabisa

Nikakumbuka kuna siku tena alipotea hewan ghafla akaja kunicheki kesho yake saa tano asubuhi eti sms zilikata ndo ameunga

Na mara zote huwa hata kija kulala kwangu hataki aamke asubuhi yeye huwa ni saa nne ndo anarejea kwao

Kwa hiyo kwa ufupi saa nne ndo mida yake ambayo huwa anaondoka kurudi kwao na ndo maana alinitafuta saa tano asubuhi baada ya kuwa amefika kwao.
 
Asante mkuu ngoja niishi kivingine sai,kuanzia sasa nimemuua moyoni na hta akilazimisha kuendelea nitamtumia kama anavotumiwa na hawa wanaomla ila care zote zmeisha
Nakuhaidi
Mkuu usharudi toka Maandishi matatu?
 
Yani kiufupi yuko huru kutoka hta usiku

Na mara zote tangu tumeanza mahusiano yeye huwa ni mtu wa kulala mda umeenda sana na alinambia kashazoea labda awe anaumwa sana so juzi usiku nilimtxt saa mbili usiku hakujibu ila ujumbe ulifika,nilipoona kimya nikapiga simu haikupokelewa

Amekuja kujibu jana saa tano asubuhi hata sijamuuliza akadai eti alilala mapema sana jana afu muda huo saa tano asubuhi ndo anaamka na sio kawaida yake kabisa

Nikakumbuka kuna siku tena alipotea hewan ghafla akaja kunicheki kesho yake saa tano asubuhi eti sms zilikata ndo ameunga

Na mara zote huwa hata kija kulala kwangu hataki aamke asubuhi yeye huwa ni saa nne ndo anarejea kwao

Kwa hiyo kwa ufupi saa nne ndo mida yake ambayo huwa anaondoka kurudi kwao na ndo maana alinitafuta saa tano asubuhi baada ya kuwa amefika kwao.
Kwa ushaurii wanguu maana naona bora lako mimi manzi alinisalitii na best yangu kabisa ila sikumuacha ghafla nilikata mawasiliano ya kwenda kwaoo na pesa ndo ikawa mwisho.

Yeye akija ni kugonga tu basi hadi siku akauliza kwahiyoo saizi wewe ni wa kunila tu. Nikajibu ndioo aliondoka mwenyewe na waliachana na jamaa pia namuana saizi kachoka balaa yuko tu. Hadi best zake wanauliza vipi mbona siwaelewi.

Na uzurii na mimi nika mla mpenzi wake best yangu na kimyaa kama sijuii vilee

Sent using mt4 app
 
Ni kweli mkuu maana nilikua namatarajio makubwa kwake ila imekua tofaut sana na imenihuzunisha japo alinihaidi kwamba anataka kutulia namimi lakini imekua tofaut

Sasa kwa kuwa sina ushahidi wa kumuonesha ndio maana naomba ushauri njia gani bora za kuachana na mtu kama huyu
Nakushauri tu umuite, mtoke out na mpeleke sehemu nzuri na tulivu. Hakikisha sikuhiyo umetupia na umependeza vizuri.
Kisha muagizie chakula kizuri na kinywaji anacho pendelea, na katikati ya mazungumzo mueleze vile unavyo jisiki juu yake. Mwambie jinsi alivyo kuumiza na kukujeruhi, na mueleze jinsi ambavyo haumuamini tena ingawa bado unampenda sana.
Wakati yote haya yakiendelea, jitahidi kuonyesha upendo wa wazi kwake na usionyeshe hasira kwake hata chembe.
Baada ya hapo, mpe nafasi na umsikikize. Kisha fanya maamuzi ya kumsamehe ama kumuacha kwa kueleza wazi.
 
Asante mkuu japo najua hawez kosa cha kusema na kwa kuwa sina hoja ya nguvu sana itaonekana ni kama nimeamua kumtafutia sababu ndo maana nlitaka kwa kuwa yeye anajua alichofanya ni bora tuachane juu kwa juu kuliko kuanza kuwindana
Huyu kashakua mkavu hakunjiki
 
Asante mkuu japo najua hawez kosa cha kusema na kwa kuwa sina hoja ya nguvu sana itaonekana ni kama nimeamua kumtafutia sababu ndo maana nlitaka kwa kuwa yeye anajua alichofanya ni bora tuachane juu kwa juu kwa juu kuliko kuanza kuwindana
Huyu kashakua mkavu hakunjiki
Ohhhhhh.....
Kumbe jibu unalo tayari..[emoji41][emoji41]
Go ahead then...
 
Ohhhhhh.....
Kumbe jibu unalo tayari..[emoji41][emoji41]
Go ahead then...
Haya mambo ya kuanza kuharibu muda na gharama kwa ajili ya mhuni mmoja hapana

Nimegundua Mungu ananipenda kanionesha wazi nnaemtaraji ni mtu wa aina gani so ingawa nnaumia ila siwez tena kuwa mnyonge kwake
 
Ilishawahi kujikuta hii enzi natafuta mwenza wa maisha, nikakumbana na kichwa mbovu mmoja hivi tena aliwahi kuwa classmate wangu, aisee ni bonge moja la changamoto ila nilichoamua kufanya ni kwamba
1.sitopiga simu wala kutuma msg
2.sitopokea simu yake wala kujibu msg
3.hata nikikutana naye hakuna stori
Nilifanya hivi kwa sababu nilitambua wazi kabisa nampenda sana mwanamme ambaye ni chaguo langu kabisa lakini kwa bahati mbaya sana sio fungu langu wala si ridhiki yangu.
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kwa 100%.
 
Haya mapenzi Kama third part insurance unayaendekeza kwa faida ya nani?

Wakati mnaanza uliutangazia umma?

Hebu grow up upambane na Hali yako
 
Ilishawahi kujikuta hii enzi natafuta mwenza wa maisha, nikakumbana na kichwa mbovu mmoja hivi tena aliwahi kuwa classmate wangu, aisee ni bonge moja la changamoto ila nilichoamua kufanya ni kwamba
1.sitopiga simu wala kutuma msg
2.sitopokea simu yake wala kujibu msg
3.hata nikikutana naye hakuna stori
Nilifanya hivi kwa sababu nilitambua wazi kabisa nampenda sana mwanamme ambaye ni chaguo langu kabisa lakini kwa bahati mbaya sana sio fungu langu wala si ridhiki yangu.
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kwa 100%.
Hata mimi kinachoniumiza ni hicho
Niko kwenye scouting saivi natafuta mtu sahihi mwakani nimuoe maana umri wa kuruka kwangu umeisha mwakani nafkisha 30
 
Back
Top Bottom