Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

Mh mtoa mada umenichekesha sana huo mti wenye chui pembeni ya barabara hapo mikumi umepandwa leo? Kwanza chui hupenda kujificha sana jawezi kaa pembeni ya bara
barabara malori yanapita kwa fujo namna ile. Hahahahaahah
 
Hivi pale Mikumi njiani na Chui yupo juu ya mti anakula Swala.Mti?
Chui alivyo na aibu amle swala pale?

Maana mie najua Mikumi kuona wanyama hao ukiwa njiani ambao ni Big Five ni tabu sana.

Hahhahaha,aisee wewe inaonekana shule ulikuwa unafunga corridor na wanafunzi ukiwapa hadithi njoo uongo njoo na utam kolea.
Uandishi tu ni issue ya kupanga.
 
Kabla ya kuingia mikumi hapo mwanzoni kuna sehemu ya kuchimba dawa na mabasi mengi husimama, ingekuwaje kama ungesubiri basi lipite hlf ulifuate kwa nyuma???
 
story ya uongo.
1. kwanza speed
2. pili wanyama uliotaja, hasa simba na chui. eti wana damu mdomoni. eti wawili mmoja huku na mwingine huku. hao hawakaagi karibu na barabara
3. mara umeandika uliondoka moro saa 8 ukafika 9.30, alafu tena unadai ulipita jioni.
Full fix. Chai hainunuliki
 
Kijana story yako inaonesha kama kweli hivi!!.
But ni ndefu kwa inavoonekana na inafaa redioni pale RFA kwa kipindi flani huwa kinarushwa jumapili saa 10:00hrs -11:00hrs
 
me nakubaliana na mkuu.... hiyo njia wanyama wana tishaa
 
Mie nilikushauri upite adhuhuri muda ambao msongamano wa mabasi makubwa uko safarini.
 
Hawa ni hatari mikumi national park sasa qewe hizo damu mdomoni ulizionaje na speed uliochomika nayo?
 

Attachments

  • 1437598635656.jpg
    1437598635656.jpg
    102.5 KB · Views: 384
Back
Top Bottom