Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
pitia njia ya dom!Nilijuta sana unaweza kuzimia ukimwona simba nilikuwa nadrive huku nawaza zile documentary za WILD LIFE simba alivyokuwa anamrukia nyati hadi leo sijarud DAR nawaza nirudije
Wewe ni mwongo kupindukia maana habari ilivyonioongo mtupu.
Mkuu mi nilisha kuandikia R.I.P tangu siku ile kumbe umerudi