Mrejesho: Nina wasiwasi na huyu dogo

Mrejesho: Nina wasiwasi na huyu dogo

Pole sana mkuu. Deal sawa sawa na huyo jamaa anaemfanyia huo mchezo...hakikisha anaenda jela, na yeye akafanyiwe huo mchezo na manyapara.
Inasikitisha na kuleta hasira at the same time.
 
wana JF leo nimeona nilete marejesho

Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua anafanya na nimemuuliza akanambia ni kweli ila baada ya kumnasa sana vibao na ngumi nyingi.Na kaniomba sana nisimwambie mtu yeyote yule ata bro wangu mkubwa ila lazima nimwambie father na mother na broh nina mengi saaaana ya kueleza ila haya yanatosha sitaki kuwachosha. Nimempiga saaana tena saana .


Nilichoamua mimi kaka yake ambae ndo namsomesha na ndo naishi nae
kuwa nitampeleka hosptali wakamsafishe wakamtoe uchafu wote yaani apigwa bomba
shuleni nitakua nampeleka mimi kila siku na kwenda kumchukua mimi wakati akitoka ata kama ntachelewa job ntamwambia mwalimu wake ahakikishe mda wote yuko shuleni na vipindi vyote ahudhurie akikosa kipindi anambie nimnyooshe na nitakua namlipa mwalimu hela kwa ajli ya kumchunga. shule yao nia day na bweni so ni rahisi kukaa mpka join wakati nkitoka job.
Nyumbani ni marufuku kutoka kwenda popote labda nitoke nae mimi la sivyo atakaa nyumbani bila kutoka hyo kazi nimempa mlinzi

naomba ushauri wako kuhusu huyo dogo .Ushauri wako ni muhimu sana kwangu

AKHSANTE
Nilikuw nangojea sana huu mrejesho ss wenye watt wa kiume saiv hatupumui jaman hata mtt wa kike hachungwi tena kama wa kiume naumia sana
 
Ushoga ni ROHO kamili ya Ibilisi. Angalia approach yako ktk kudeal na huyo dogo unaweza kumuumiza bure kumbe kuna nguvu inamdrive.

Muombe Mungu akupe hekima otherwise utwangaji wa maji kwenye kinu haukwepeki hapo.
 
Usitumie nguvu sana manake atakuona adui hatua ulizochukua ni mwanzo mzuri ila usiwambie wazazi utawaumiza sana mpe muda naamini ataweza kubadilika.Kama sio hanithi au mseng.e nadhani ni saikilojia tu!Yakudeal nayo.
 
Pole sana ndugu, hapo jipange vizuri namna ya kuwaeleza home hasa wazazi wako ili wasije wakajiuliza imekuaje amefikia huko wakati alikua anaishi na ww?
 
Pole sana uyo jamaana wala usihangaike na kesi wapo wataalam wa uchawi humu wanaweza kukusaidi kumloga akojoe shahawa mpaka afe,,,,pumbavu zake
 
Usitumie nguvu sana manake atakuona adui hatua ulizochukua ni mwanzo mzuri ila usiwambie wazazi utawaumiza sana mpe muda naamini ataweza kubadilika.Kama sio hanithi au mseng.e nadhani ni saikilojia tu!Yakudeal nayo.
ni mzima kabisa mkuu ana ttzo lolote la kibaolojia
 
nahisi umekosea kumdunda. ungeongea naye polepole. na ukiwaambia broh, maza ,dingi na mwalimu utazidi kumuaibisha na shule itakuwa ngumu. mtafutie mwanasaikolojia.
 
duh pole sana kaka, inaumiza lakini do your best yawezekana chanzo ndio tatizo maana hawa watoto wanaharibiwa na mijitu isyo na huruma wala haya, ikiwezekana muhamishe shule, mpeleke yenye uangaliz wa karibu na strict laws, pia kumcontrol kila anachofanya, muulize hao mabasha zake ni kina nani ili iwe rahs kumdhibit. Tumia pia spiritual councelling na councelling za kawaida. Work at best naamini on certain time atarud kwenye hali ya kawaida. Huko mbeleni atakua amepata ahueni
Mkuu Mimi naona ni bora aendelee vile vile alivyoamua kufanya kuliko kumhamisha shule kule itakuwa ni rahisi kwake kuendeleza hiyo tabia huyu kijana anatakiwa asiwe na upenyo wa kutoka wala kuwa na muda na wenzie kwa kipindi Fulani Mungu amsaidie na kumuondolea janga hilo alilolizusha pia abanwe hadi awataje wanaona mshughulikia ili iwe rahisi kwa yeye kupewa ushauri wa kuwaepuka
 
Am speechless bali mungu akuongoze ufanye kitu kizuri mkuu umuokoe mdogo wako
 
Back
Top Bottom