Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Pole sana mkuu!
Hili jambo ni gumu sana usilichukulie kimabavu bali akili kubwa.
Tegemea miujiza ya Mungu ktk kumbadilisha mdogo wako.
Fuatia kwa makini chanzo na kiini cha hilo tatizo make mara zote tabia za kishoga huwa zinaanzia nyumbani kulingana na malezi.
Kama dogo mlimzoesha kupikapika, kukaa na kupendelea vikao vya kikekike, usafi uliopitiliza kama ke, kutangulizana na dadazake kila waendako,kupendelea kujipodoa kuliko pitiliza na kuruhusu hali kudundwa na malalamiko ya kijinga jinga kila mara dhidi ya wanaume rika lake... n.k haya yote huchangia sana kumfanya mtoto wa kiume kuwa choko.
Kitendo cha yeye kufikia maamzi ya kukuambia live kuwa anajihusisha na ushoga seems kachukulia kuwa ni jambo la kawaida na he is so into it! Sasa kumbadilisha ghafla sio jambo jepesi.
Treat him friendly but be serious. Mfanye ajiamini kwamba yeye kazaliwa kidume sema alikolalia siko and he might as well change himself.
Ukimwendea kwa pupa atatoroka hapo home na kujichanganya kitaa au hata kuhama kabisa jiji...