Nimeufuatilia Uzi huu hakika inasikitisha sana,pole sana ndugu yangu kwa masaibu hayo,kiukweki hapo ndipo kama kama jamii inabidi tukubali kuwa kwenye jamii yetu tumeingiliwa na hili janga la mapenzi ya jinsia moja,sio wanaume tu bali hata wanawake,hatua uliyochukua yakujua ukweli ni sahihi sana,na kwakua umri wake bado mdogo ilikuwa ni approach sahii sana,assumption yangu nini kilichotokea kwa huyo Dogo hadi kuanza kujifunza mambo hayo ni kama ifuatavyo,1,Mtoto huyo ktk makuzi yake alikuwa akicheza na watoto wanaomzidi umri kwa mda mrefu na hiyo inaweza kupelekea kuwa sehem ya mazoezi ya hao watoto ktk kujifunza kutafuta hisia zao halisi za kingono hivyo yeye bila kijitambua akawa muanga wa hali hiyo,2.Kijana huyo alipofika umri wa kubarehe alikosa ukaribu wa jinsia tofauti hivyo kujikuta ktk hisia za mapenzi lkn hawezi kuwa na jinsia tofauti ikatokea wanaojua hali hiyo wakamshawishi na kujikuta anatumika kumaliza hisia zake kinyume na maumbile 3.ktk umri huo alionao sasa alijikuta na kampani ya watu wazima ambao wanafanya mapenzi ya jinsia moja tena yawezekana walimwanzia kwa yeye kuwaingilia hao watu lkn kumbe yeye ndio mlengwa wa kuingiliwa Wa kudumu 4.Yawezekana mdogo wako alianzishiwa kwakubakwa na hao mafirauni na akashindwa kueleza na hii inatokana na kupewa ofa za pombe,lkn hali ile akuipenda lkn kadri siku zilivyokwenda akakubali kuendeleza mchezo huo Nini chakufanya ili kumnusuru huyo bwana mdogo kutoka huko 1.Kupiga punyeto ni moja ya njia salama sana kwa vijana wadogo kumaliza haja zao kabla ya kuingia ktk mahusiano ya kimapenzi,najua watu wengi watanishangaa kutoa wazo hilo lkn tafiti zinaonyesha karibu 80% ya wanaume rijali wamefanya punyeto kijitimizia haja zao na Leo wako na wake na maisha yanaendelea 2.Zungumza nae na kuwa rafiki yake wa karibu muonyesha upande wa pili Wa dunia hasa ya jinsia tofauti 3.Mpongeze kwa jambo jema analolifanya vizuri hiyo itaonyesha unampa credit kwa mambo mazur anayoyafanya,ataongeza kujiamini,4 mpeleke hospital in baada ya yeye kuridhia usimlazimishe itoke kinywani mwake,5,Mwambie kila binadam ukosea lkn kuna nafasi ya kujirekebisha hakika atabadilika lkn zoezi hili laweza chukua hata miezi sita NB Elimu ya bure Mwanaume au mwanamke akiingiliwa kinyume na maumbile bila kinga ,manii huwa hazina njia ya kutokea badala yake utengeneza fangus kwenye kuta za haja kubwa na hizo fungus ushambulia ngozi laini ya utumbo mpana na kufanya MTU huyo kuisi au kutamani kukunwa hivyo umjengea MTU hisia za kuingiliwa kila wakati hivyo basi kunatiba ya hizo fungus Pole sana na usikate tamaa Siku.moja mdogo wako atakuwa mwanaume kamili