Mrejesho: Nina wasiwasi na huyu dogo

Wana jf nimeshindwa ku post ideal yangu ila natafta wadau wa jf kama wa 5 ili tuongee kuhusu kuanzisha miradi mbalimbali itakayotusaidia pia namtafta mchana maarufu hapa jf nitafte kwanumber 0767785176 ninamengi yakuongea
 
Kule mombasa kuna mzee alichoshwa na kijana wake kwa tabia za kichoko ilifikia dogo anapaka had lipstic.mzee akaamua amkamate amfunge kamba kisha amtie ndizi ya moto kwenye kabang ile wakati ndo amwekee ndizi akapita mzee basha akamwambie yakhe usiichome kabang hiyo wenzio huwa twala mbichi
 
ushoga sio mxuri hata kidogo lakini kumpiga umekosea kabisa kwa kuwa majority husababishwa na hormones ndio maana hata yeye hapendi hali hiyo. amekutrust kwa nini wewe unataka kusambaxa na kuwaambia waai wako.hebu msititrimwenyiohuku ukumsaidia kujinasua.
 
hili swala kwa upande wa familia.nalifahamu mimi tyu so hakuna mwingne anaejua zaidi yangu
 
Ulishaujaribu nini?
mkuu kwani huwezi kujua kitu mpaka mjaribu?!mbona kila siku unaambiwa sumu ya panya inaua mpaka binaadamu na unaamini au ushawahi kuijaribu?!
 
Pole sana ndugu yangu huu ni mtihani kwako, kwa ndogo wako na kwa familia yenu kwa ujumla..Nafahamu kwa sasa ni schock kwako lakini siku zitakavyokuwa zinasonga mbele utazoea na kuwaza bila jazba wala chuki jinsi ya kumsaidia ndugu yako katika tatizo hilo.

Ninavyofahamu kuna mashoga wa aina tatu au zaidi:
Kwanza ni mashoga wa kuzaliwa hawa ni watu wenye hormonies nyingi za kike kuliko za kiume, mara nyingi hawa watu wa hivi uanza tabia za kike wakiwa bado wadogo kama kupenda kuvaa nguo za kike, kupenda kujipamba, kucheza sana na watoto wa kike kuliko wa kiume na nk..Kama mdogo wako yuko katika hili group kumtoa huko si rahisi maana ndivyo alivyoumbwa na si kosa lake. Mtu wa namna hii kama familia inabidi mmkubali jinsi alivyo maana mateso yanayopata katika jamii yanatosha hivyo anahitaji msaada wenu ili aweze kuishi walau kwa furaha kwa kipindi kifupi hiki tunachoishi.

Aina ya pili ni mashoga kwa ajiri ya tamaa labda maisha anayoishi hajaridhika nayo hivyo anataka kupata pesa nyingi kw njia ya mkato.Mashonga wa namna hii wanaweza kuondoka na ushoga pale utakapo kaa naye na kumshauri kwa upendo/ukali au kwa aina yoyote utakayo ona inavaa. Pia kujaribu kumbana kama ulivyosema hapo juu na ikibidi kuhama hapo na kwenda mbali pamoja na kukata contact za marafiki zake wote alionao, Pia ni muhimu kumfanyia counselling.

Wa tatu ni wale wenye bad experince katika maisha yao ya utotoni, kwambaa labda hapo nyumbani baba alikuwa katiri sana kwake yeye au kwa mama yake au familia kwa ujumla, au kuna mtu alikuw anam "sexual abuse" bila familia kufahamu hivyo basi vitu vya namna hii vinamfanya hataki kuwa mfano wao au kuvaa uhusika wao hivyo kwake yeye ni bora awe shoga/mwanamke kuliko kuvaa uwanaume ambao unamfanya akumbuke mateso ya utoto.

Cha muhimu kaa naye kwa upendo jaribu kumdadisi ili ufahamu ni nini hasa kimemfanya yeye awe shoga..Pia baada ya hapo ni bora kuongea na wazazi/familia lakini kama familia yenu ni wamoja na wasiri ili wote kwa pamoja muweze kumsaidia maana peke yako si dhani kama utaweza.Cha muhimu ni kumuangalia huyu mdogo wenu kama ndugu yenu si shoga, kumpa mapenzi kama kaka maana alichokifanya ingawaje hakikubaliki katika jamii lakini bado anabaki kuwa ndugu yenu, damu yenu na binadamu mwenzenu na binadamu tunafanya makosa muhimu ni kuona makosa yako na kujirekebisha..
 
nashukuru sana kwa ushauri wako asante sana
 
Ndio dawa ya mabazazi..ukipeleka case police watakula hela yko tu.dawa unamtengea laki 5 ya kuwalipa wazee wa kukata tope watamaliza hiyo kazi na hata rudia kwa mwingne mana mtaro wke utakua wazi.....kila akikumbuka kufiro machozi yanamtoka
Hahahaaaa
 
kashanambia jamaa ambae anamfanyi huo mchzo na nataka nimfute niongee nae nimwambie kwa nini unamuharibu mdogo wangu ikibidi nimfunge au nimtaftie kesi aende jela naumia sana
usiende kumuuliza tengeneza mtego upate ushahidi umtie nyavuni
 
Kwani Mwalimu ndio hachukuliwi hatua? Hafungwi?
Ataendelea kufaid maana umebana kote ukamwamini yeye tyu. Watoto wengi huharibikia shuleni.

Kuna dogo alikuwa amasoma 4m4 alimtongoza mwl mwenzangu akidai anatokea tanga xo atamfumua rinda lake vizuri.

Chalii akamtongoza pia jamaa angu mwingine ambae alimaliza xul hiyo ila alkuwa chuo. Jamaa alinituma nimpe dogo onyo kali.

Tuwe makini na yanayoendelea mashuleni maana ni hatar sana.
 
Pole sana kaka kwa hayo yaliyoikumba familia yako/yenu,hongera kwa kuchukia tabia mbaya za kishoga na kuchukua hatua. Cha msingi usiendelee kutoa adhabu ya kumpiga kwani atakutoroka na kwenda kuharibika zaidi. Nimeumia sana kwa hii habari kwa vile nina wadogo zangu na mtoto wa kiume. Ndugu samahani uneshamuuliza ni nani anamwingilia mdogo wako? Naomba ukimfahamu piga na ikiwezekana ua kabisa kwani hautakuwa na dhambi. Fikria mtu badala ya kutmba wadogo zake anakuja kukuharibia mdogo wako aidha kwa kumhadaa zawadi na pesa!!!! Hapana mkuu chukua maamuzi mazito
 
Uchunguzi wako uliufanya vipi mkuu?

Anamuda gani toka aanze au ndio alikuwa anaanza?
 
Mimi ndo nachoka kabisa nikisikia hizi ishu

Huyo jamaa mbambikie hata kesi ya mauaji akafie jera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…