Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,624
- 3,143
AmenBwana Yesu asifiwe mpendwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenBwana Yesu asifiwe mpendwa...
ushoga sio mxuri hata kidogo lakini kumpiga umekosea kabisa kwa kuwa majority husababishwa na hormones ndio maana hata yeye hapendi hali hiyo. amekutrust kwa nini wewe unataka kusambaxa na kuwaambia waai wako.hebu msititrimwenyiohuku ukumsaidia kujinasua.wana JF leo nimeona nilete marejesho
Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua anafanya na nimemuuliza akanambia ni kweli ila baada ya kumnasa sana vibao na ngumi nyingi.Na kaniomba sana nisimwambie mtu yeyote yule ata bro wangu mkubwa ila lazima nimwambie father na mother na broh nina mengi saaaana ya kueleza ila haya yanatosha sitaki kuwachosha. Nimempiga saaana tena saana .
Nilichoamua mimi kaka yake ambae ndo namsomesha na ndo naishi nae
kuwa nitampeleka hosptali wakamsafishe wakamtoe uchafu wote yaani apigwa bomba
shuleni nitakua nampeleka mimi kila siku na kwenda kumchukua mimi wakati akitoka ata kama ntachelewa job ntamwambia mwalimu wake ahakikishe mda wote yuko shuleni na vipindi vyote ahudhurie akikosa kipindi anambie nimnyooshe na nitakua namlipa mwalimu hela kwa ajli ya kumchunga. shule yao nia day na bweni so ni rahisi kukaa mpka join wakati nkitoka job.
Nyumbani ni marufuku kutoka kwenda popote labda nitoke nae mimi la sivyo atakaa nyumbani bila kutoka hyo kazi nimempa mlinzi
naomba ushauri wako kuhusu huyo dogo .Ushauri wako ni muhimu sana kwangu
AKHSANTE
hili swala kwa upande wa familia.nalifahamu mimi tyu so hakuna mwingne anaejua zaidi yanguushoga sio mxuri hata kidogo lakini kumpiga umekosea kabisa kwa kuwa majority husababishwa na hormones ndio maana hata yeye hapendi hali hiyo. amekutrust kwa nini wewe unataka kusambaxa na kuwaambia waai wako.hebu msititrimwenyiohuku ukumsaidia kujinasua.
mkuu kwani huwezi kujua kitu mpaka mjaribu?!mbona kila siku unaambiwa sumu ya panya inaua mpaka binaadamu na unaamini au ushawahi kuijaribu?!Ulishaujaribu nini?
cha 3
nashukuru sana kwa ushauri wako asante sanaPole sana ndugu yangu huu ni mtihani kwako, kwa ndogo wako na kwa familia yenu kwa ujumla..Nafahamu kwa sasa ni schock kwako lakini siku zitakavyokuwa zinasonga mbele utazoea na kuwaza bila jazba wala chuki jinsi ya kumsaidia ndugu yako katika tatizo hilo.
Ninavyofahamu kuna mashoga wa aina tatu au zaidi:
Kwanza ni mashoga wa kuzaliwa hawa ni watu wenye hormonies nyingi za kike kuliko za kiume, mara nyingi hawa watu wa hivi uanza tabia za kike wakiwa bado wadogo kama kupenda kuvaa nguo za kike, kupenda kujipamba, kucheza sana na watoto wa kike kuliko wa kiume na nk..Kama mdogo wako yuko katika hili group kumtoa huko si rahisi maana ndivyo alivyoumbwa na si kosa lake. Mtu wa namna hii kama familia inabidi mmkubali jinsi alivyo maana mateso yanayopata katika jamii yanatosha hivyo anahitaji msaada wenu ili aweze kuishi walau kwa furaha kwa kipindi kifupi hiki tunachoishi.
Aina ya pili ni mashoga kwa ajiri ya tamaa labda maisha anayoishi hajaridhika nayo hivyo anataka kupata pesa nyingi kw njia ya mkato.Mashonga wa namna hii wanaweza kuondoka na ushoga pale utakapo kaa naye na kumshauri kwa upendo/ukali au kwa aina yoyote utakayo ona inavaa. Pia kujaribu kumbana kama ulivyosema hapo juu na ikibidi kuhama hapo na kwenda mbali pamoja na kukata contact za marafiki zake wote alionao, Pia ni muhimu kumfanyia counselling.
Wa tatu ni wale wenye bad experince katika maisha yao ya utotoni, kwambaa labda hapo nyumbani baba alikuwa katiri sana kwake yeye au kwa mama yake au familia kwa ujumla, au kuna mtu alikuw anam "sexual abuse" bila familia kufahamu hivyo basi vitu vya namna hii vinamfanya hataki kuwa mfano wao au kuvaa uhusika wao hivyo kwake yeye ni bora awe shoga/mwanamke kuliko kuvaa uwanaume ambao unamfanya akumbuke mateso ya utoto.
Cha muhimu kaa naye kwa upendo jaribu kumdadisi ili ufahamu ni nini hasa kimemfanya yeye awe shoga..Pia baada ya hapo ni bora kuongea na wazazi/familia lakini kama familia yenu ni wamoja na wasiri ili wote kwa pamoja muweze kumsaidia maana peke yako si dhani kama utaweza.Cha muhimu ni kumuangalia huyu mdogo wenu kama ndugu yenu si shoga, kumpa mapenzi kama kaka maana alichokifanya ingawaje hakikubaliki katika jamii lakini bado anabaki kuwa ndugu yenu, damu yenu na binadamu mwenzenu na binadamu tunafanya makosa muhimu ni kuona makosa yako na kujirekebisha..
HahahaaaaNdio dawa ya mabazazi..ukipeleka case police watakula hela yko tu.dawa unamtengea laki 5 ya kuwalipa wazee wa kukata tope watamaliza hiyo kazi na hata rudia kwa mwingne mana mtaro wke utakua wazi.....kila akikumbuka kufiro machozi yanamtoka
Kwani Mwalimu ndio hachukuliwi hatua? Hafungwi?Je kama mwalimu ndo anasukuma tope (anafumua rinda) itakuaje?
tyuu ndio nini? Au nawewe ni walewale?nilinpiga pale tyuu nilipokua namuambia aseme ukweli akwa anagoma so ikabidi nimuwashe ndo akafunguka kila kitu
usiende kumuuliza tengeneza mtego upate ushahidi umtie nyavunikashanambia jamaa ambae anamfanyi huo mchzo na nataka nimfute niongee nae nimwambie kwa nini unamuharibu mdogo wangu ikibidi nimfunge au nimtaftie kesi aende jela naumia sana
Ataendelea kufaid maana umebana kote ukamwamini yeye tyu. Watoto wengi huharibikia shuleni.Kwani Mwalimu ndio hachukuliwi hatua? Hafungwi?
tokea akiwa form two sasa hivi yuko form three ni mwaka sasaUchunguzi wako uliufanya vipi mkuu?
Anamuda gani toka aanze au ndio alikuwa anaanza?