Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

SSa
Sahii kama huku nilipo..vijijiji ukienda unakuta hekari inauzwa elfu 70 mpaka laki,..ukijiwekeza mbona kutoboa nirahisi
 
Basi timu imekamilika,Missy Gf andaa begi la safari mama mtumishi katuhakikishia uhakika
😅😅😅Sana tuuuu
Maana kwenye Kila ardhi Kuna wenyeji na miungu Yao
Ss we unaenda na Mungu wako ,kule hawatakuelewa ,lzm umuondoe aliyepo ummilikishe wa kwako,maana ndie mdhamini wako!
Baba, Mwakasege kasema 2024 Yesu awe mdhamini wako kwenye Kila eneo
Bampa to bampa na Yesu...
Vigezo na mashart kuzingatiwa,lazima uingie nae agano!😅
 
Hongera sana kapambane mkuu, mi najipanga nije niweke kambi huko kwenye msimu wa mahindi panapo majaaliwa. Huenda tukawa wote tuombe afya njema na uhai mpaka wakati huo.
Amina mkuu wangu tuombe uzima Leo nimetoka kuongea na wadau huko wanasema ngoma Feb mwisho kuja march patakuwa patamu Sanaa Kwa ajil ya harakati
 
Ahàaa pale wakala nakujua mkuu vyema wachaga sio watu wazur pemben ya duka wamepanda migomba kibao siku hizi Wana Costa .......siku tunatoka mwese namba kuja mpanda abiria unajua wa kutega mahali walikuta msiba jamaaaa wakapaki gari kusubir abiria wako msibani wale watu bus muda wa kula ikabidi wakale msibani wazike na waondoke na abiria wapya
 
Imagine mdhamini ni Yesu!hakuna utakapokataliwa...I like it 🥰
 
Muda mzuri wa kujiandaa Kwa walima mahindi na maharage mwezi wa tatu au wa pili mwisho uanze safari ya kwenda huko mwese na lubalisi ......... wandewa wanasema tayari maharage yameanzwa pandwa ya mbegu kwenye Feb yatakuwa tayari kwenye march unaweza panda rasmi Kwa mlimaji ardhi inakuwa na rutuba ya kutosha.
 
Mahindi huko si wanalima msimu mmoja tu? Ule wa mwezi wa 9 ama?
 
mifugo.Hapo jifunze matumizi ya dawa mabalimbali za mifugo,kuchoma sindano nk,kwakuwa utakuwa na Simu janja mengine unajiongeza Google search ndugu yangu hapo wafugaji watakuwa wanakimbilia kwako kupata huduma na ushauri.
Wasukuma wanatibu wenyewe mifugo yao. Ukiweza kuuza dawa hapo sawa ila mwanzoni utapata taabu sana maana wanaenda kwa kujuana! Kama anayewauzia vizuri yuko Kapanga au Manyonyi watamfuata huko huko!
 
Nashauri tuanzishe grp la Whatsup tupeane fursa, unaweka kiunganisho cha Whatsup au kanamba kenye jina la wakala pale mti mkavu tunajisevia fasta na watoto wazuri kama wote jembe begani, uelekeo wa farm
 
Jioni palikuwa na wingu na upepo wa mvua kuanguka huko lubalis na viunga vyake nahisi na mwesee itakuwa ilibeep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…