Mass bissness
Member
- Sep 12, 2024
- 15
- 13
Hapana Mkuu me sipo Dsm nipo Arusha now, yaani nilimaanisha umbali wa Mpanda mjini to Mwesse no.4, naweza kwenda na kurudi kwa pikipiki, maana naskia usafiri ni shida hivyo nataka nije na boda yangu kabisa ya kukusanyia mazao, ila boda nitasafirisha kwa gari ili inirahisishie shughuli zangu, na natafuta sehm nzuri ya kufugia mifugo yangu Kama ntapata huko Mwesse!!Pikipiki kutoka dsm Hadi mwese??? Ukifika lazima ukalazwe mwese tu Hadi katavi mjini safari ndefu sanaa
Umbali mrefu sana mkuu Kwa boda boda maan Kwa bus tu umbali wa masaa 7 toka katavi Hadi mwese namba 4Hapana Mkuu me sipo Dsm nipo Arusha now, yaani nilimaanisha umbali wa Mpanda mjini to Mwesse no.4, naweza kwenda na kurudi kwa pikipiki, maana naskia usafiri ni shida hivyo nataka nije na boda yangu kabisa ya kukusanyia mazao, ila boda nitasafirisha kwa gari ili inirahisishie shughuli zangu, na natafuta sehm nzuri ya kufugia mifugo yangu Kama ntapata huko Mwesse!!
Muhimu sanaTupeni mrejesho wadau.
Mkuu katavi mashamba heka1 inaendaje?Twendeni katavi vijana wenzangu
VpMkuu katavi mashamba heka1 inaendaje?
vipi kuna mabonde?
Ardhi zina rutuba?
Vip Wadau wa katavi msimu wa maharage umefika?Mkuu katavi mashamba heka1 inaendaje?
vipi kuna mabonde?
Ardhi zina rutuba?
ulipata namba kaka, uliingia vitan?Naomba namba yako mkuu, unipe full A B C za huko kabla sijavaa silaha za kazi
wiki ijayo ntakuwa huko mpanda na mweseulipata namba kaka, uliingia vitan?
Mkuu katavi mashamba heka1 inaendaje?
vipi kuna mabonde?
Ardhi zina rutuba?
Yana anzia laki 2 .Mkuu katavi mashamba heka1 inaendaje?
vipi kuna mabonde?
Ardhi zina rutuba?
Yes debe Moja au kg 20 ni Tsh 45k maharage ya njanoVp
Vip Wadau wa katavi msimu wa maharage umefika?
Kuna mahala nadhani hata bure unapata ama nakoseaYana anzia laki 2 .
Kukodi au kununua?Yana anzia laki 2 .
Maeneo gani hapo katavi mkuu.Yana anzia laki 2 .
Kununua lkn mengi yanakua hayajafyekwa.Kukodi au kununua?
MweseMaeneo gani hapo katavi mkuu.
Vipi kwa maji moto?Mwese
Kumbe nikiwa na 10m napata hekari nyingiKununua lkn mengi yanakua hayajafyekwa.