Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Wakuu huku Kuna mvua kinoma nilitoka lubalisi nikasogea mwese now Niko mpanda mahitaji nilifata mvua za kupandia zina gonga radi balaa
All the best soldier 🪖!! Piga kazi mkuu. Usisahau kuweka na picha za pande hzo.
 
Wazee wa mpanda/katavi naomba connection mawasiliano ya wauza boda pale mpanda town na shida ya sanlg nataka kujua bei yao
 
Good naration chief,very inspired..I have learned a new thing,Thank you!! Mwese naifahamu vizur maana nimeishi Katavi for 3yrs na Mwese kilikua pia ni kituo changu cha kazi.
Great sir . .......mei Mungu akipenda nitarudi huko tena
 
Back
Top Bottom