Safiiii πMie sijatulia ila ni hazibandi material.
Ukitaka univuruge niletee visingizio kwenye hii tasnia pendwa ( hata kama tuna ugomvi au tofauti flani, ikifika hicho kipindi ziweke pembeni, tutendeane haki ndio tupinge upya bifu). Na nilishaweka dhahiri Bayana pasi shaka kwamba siku akiona naumwa, au nna stress kiasi Cha kushindwa kabisa burudani pendwa, aanze kuulizia password za ATM, mirathi na wosia, kuandaa maturubai na kutoa taarifa Kwa ndugu kwamba Kuna jambo Zito linaikumba familia.
Yaani niwe na stress kiasi Cha kushindwa kabisaaaa? Hiyo haipo na sijui kama itakuja kutokea.
Wengine wapo fair tu na wanajitambua. Wanajua mara moja moja upo umuhimu wa kujishusha ili kufurahia maisha.Hio
siku mwanamke anafanya hayo rest assured kuwa 100% ametoka kupigwa miti huko nje, kajigundua ana mimba na anataka akubambike.
Dada usichepuke,unapokubaliana na mwenzako kuingia kwenye ndoa lazima ukubaliane na changamoto zote zitakapotokea,kwanza hapa sio sehemu salama ya kuomba ushauri,hivi unapewaje ushauri na mtu hata ajawahi kuishi kwenye ndoa??za kuambiwa changanya na za kwako,fanya hivi...Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Atakaye nielewa kwa kweli ataenjoy na mimi. Ingawa pia sina uvumilivu kwenye baadhi ya mambo, hili ni tatizo langu kubwa so atakaye kuwa na mimi awe ni yule anayeweza kunikeep.Hahahah una tuvitu flani hivi ambavyo wahuni tunapendagaπ!
Sifa kuu ya wife material haboi.
Mkuu nadhani hujawahi kukumbana na stress za maisha, K inashuka thamani kuliko kawaida, huoni thamani yake.Ni wajibu wa mume kuhakikisha anapunguza nyeggge za mke wake no matter what
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π πHizo huduma zinapatikana kweli my wangu
π π π π nimekwivaaNimekuelewa, km hujaolewa na umeyatambua hayo bas unafaa kuolewa
Hata sisi hatuna uvumilivu kwenye baadhi ya maeneo. Ukileta umama tu biashara inakuwa imeisha otherwise uhusiano unakuwa safe heaven on earth. πAtakaye nielewa kwa kweli ataenjoy na mimi. Ingawa pia sina uvumilivu kwenye baadhi ya mambo, hili ni tatizo langu kubwa so atakaye kuwa na mimi awe ni yule anayeweza kunikeep.
Nikisusa na yeye akasusa basi habari inaishia hapo.
Wengine wapo fair tu na wanajitambua. Wanajua mara moja moja upo umuhimu wa kujishusha ili kufurahia maisha.
Mtakaa siku zote mmeshupaza misuli ova vifutu ili iwe nini? Furaha ni muhimu katika maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye "kunikeep" hapo namuachia mzabzab mie ndio kwanza naanza ujenzi πAtakaye nielewa kwa kweli ataenjoy na mimi. Ingawa pia sina uvumilivu kwenye baadhi ya mambo, hili ni tatizo langu kubwa so atakaye kuwa na mimi awe ni yule anayeweza kunikeep.
Nikisusa na yeye akasusa basi habari inaishia hapo.
Sasa hapo ni kujuana tu vzr kwamba mwenzangu yupo hivi.Hata sisi hatuna uvumilivu kwenye baadhi ya maeneo. Ukileta umama tu biashara inakuwa imeisha otherwise uhusiano unakuwa safe heaven on earth. π
Kwahio ntachekeshwa sana eehπ π π π
Mkuu nadhani hujawahi kukumbana na stress za maisha, K inashuka thamani kuliko kawaida, huoni thamani yake.
Hautanuna hata kwa bahati mbaya yaniKwahio ntachekeshwa sana eeh
π π πKwenye "kunikeep" hapo namuachia mzabzab mie ndio kwanza naanza ujenzi π
Nakumbana nazo sana tu, sema huwezi kuachia stress za maisha kiasi cha kumsahau mkeo mwaka mzima hutaki akuguse, humgusi, husemi chochote, upo upo tu kama zuzu! Sio sawa ni lazima ifike wakati ujue kubalansi la sivyo itakuwa sio haki na haikubaliki.Mkuu nadhani hujawahi kukumbana na stress za maisha, K inashuka thamani kuliko kawaida, huoni thamani yake.
Hakika.Unaongeza siku za kuishi na kupunguza stress za rejareja, Kuna wakati sio mbaya kujishusha Kwa mustakabal na ustawi wa familia
Na ndio ndoa yenyewe hii hapaSasa hapo ni kujuana tu vzr kwamba mwenzangu yupo hivi.
Mapungufu yapo lakini unapima mizani, kama mazuri ni mengi kuliko mabaya na hayo mabaya yanavumilika basi maisha yanasonga.
Mke aninyime vingine lakini katu katu asininyime kumarrr, patachimbikaMhusika akinichefua, Hilo linawezekana japo ni Kwa muda.
Ila Kwa upande wangu, haujawahi kutokea nikawa na stress au mawazo au changamoto ya kunifanya nikashindwa kabisaa Hilo jambo. Nilishaweka wazi nilishindwa kama hajanivuruga, basi atangaze msiba in advance.
Hata niwe na madeni au tozo zimenikinbuza naelekea Burundi, njiani ntaomba tu kiburudisho