Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Dada usichepuke,unapokubaliana na mwenzako kuingia kwenye ndoa lazima ukubaliane na changamoto zote zitakapotokea,kwanza hapa sio sehemu salama ya kuomba ushauri,hivi unapewaje ushauri na mtu hata ajawahi kuishi kwenye ndoa??za kuambiwa changanya na za kwako,fanya hivi...
1-kaa chini na mume wako kwa upendo,taratibu muulize tatizo nini,labda jamaa nguvu za kiume zimepungua au atakuwa anatumia dozi ya kuongeza nguvu,hapo kwa akili ya kawaida jamaa anatumia dawa ya nguvu ya kiume.
2-kuwa msafi,kama mwanamke utakuwa unanuka viharufu ukeni sio siri hata mimi sitafanya mapenzi nawe,hakuna kitu sipendi kama harufu ya mdomo na ya ukeni,na kwenye mapenzi vitu hivyo vinahusika,hakikisha unaosha uke vinzuri na kupiga mswaki fresh unapoingia kwenye sex.
3-muandae mumeo awe tayari kufanya mapenzi,mpikie chakula ki nzuri,epuka kumpikia vyakula vya mafuta mengi,uwe unampa vyakula vya kuongeza hamu ya tendo kama karanga mbichi,tikiti maji,mbegu za maboga,ugali wa lishe n.k
4-usimpe stress mume wako,muheshimu kipenzi chako,najuwa unampenda ndo maana umeamua kuishi nae,basi muheshim usi mkwanze,sasa hivi maishani magumu sana unaweza kuta jamaa anapitia hali ngumu kwenye shughuli zake,wanaume tume umbwa kuvumilia ndo maana tunakufa mapema sana,wewe kama wewe mpende mume wako na uwe unampa mawazo manzuri sana ya maisha,usiwe mtu wa kumkwanza,mpende mume wako.
Hitimisho:anayevunja ndoa ni mwanamke tena kwa mikono yake mwenyewe,kila unaloambiwa changanya na yako,eti mtu anakuambia toka na mwanaume mwingine nawe unakubali,hii inaonyesha jinsi akili zako hazijitoshelezi,unashindwa kukaa chini nakukumbuka mbona alikuwa ananipa haki yangu,jiulize kwanini siku hizi hakupi haki yako.kila mwanaume unayemuona ana mafanikio jua nyuma yupo mwanamke mwenye akili sana....