MREJESHO: Simuelewi mume wangu

MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Mie sijatulia ila ni hazibandi material.
Ukitaka univuruge niletee visingizio kwenye hii tasnia pendwa ( hata kama tuna ugomvi au tofauti flani, ikifika hicho kipindi ziweke pembeni, tutendeane haki ndio tupinge upya bifu). Na nilishaweka dhahiri Bayana pasi shaka kwamba siku akiona naumwa, au nna stress kiasi Cha kushindwa kabisa burudani pendwa, aanze kuulizia password za ATM, mirathi na wosia, kuandaa maturubai na kutoa taarifa Kwa ndugu kwamba Kuna jambo Zito linaikumba familia.

Yaani niwe na stress kiasi Cha kushindwa kabisaaaa? Hiyo haipo na sijui kama itakuja kutokea.
Safiiii 😅
 
Hio

siku mwanamke anafanya hayo rest assured kuwa 100% ametoka kupigwa miti huko nje, kajigundua ana mimba na anataka akubambike.
Wengine wapo fair tu na wanajitambua. Wanajua mara moja moja upo umuhimu wa kujishusha ili kufurahia maisha.

Mtakaa siku zote mmeshupaza misuli ova vifutu ili iwe nini? Furaha ni muhimu katika maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Dada usichepuke,unapokubaliana na mwenzako kuingia kwenye ndoa lazima ukubaliane na changamoto zote zitakapotokea,kwanza hapa sio sehemu salama ya kuomba ushauri,hivi unapewaje ushauri na mtu hata ajawahi kuishi kwenye ndoa??za kuambiwa changanya na za kwako,fanya hivi...

1-kaa chini na mume wako kwa upendo,taratibu muulize tatizo nini,labda jamaa nguvu za kiume zimepungua au atakuwa anatumia dozi ya kuongeza nguvu,hapo kwa akili ya kawaida jamaa anatumia dawa ya nguvu ya kiume.

2-kuwa msafi,kama mwanamke utakuwa unanuka viharufu ukeni sio siri hata mimi sitafanya mapenzi nawe,hakuna kitu sipendi kama harufu ya mdomo na ya ukeni,na kwenye mapenzi vitu hivyo vinahusika,hakikisha unaosha uke vinzuri na kupiga mswaki fresh unapoingia kwenye sex.

3-muandae mumeo awe tayari kufanya mapenzi,mpikie chakula ki nzuri,epuka kumpikia vyakula vya mafuta mengi,uwe unampa vyakula vya kuongeza hamu ya tendo kama karanga mbichi,tikiti maji,mbegu za maboga,ugali wa lishe n.k

4-usimpe stress mume wako,muheshimu kipenzi chako,najuwa unampenda ndo maana umeamua kuishi nae,basi muheshim usi mkwanze,sasa hivi maishani magumu sana unaweza kuta jamaa anapitia hali ngumu kwenye shughuli zake,wanaume tume umbwa kuvumilia ndo maana tunakufa mapema sana,wewe kama wewe mpende mume wako na uwe unampa mawazo manzuri sana ya maisha,usiwe mtu wa kumkwanza,mpende mume wako.

Hitimisho:anayevunja ndoa ni mwanamke tena kwa mikono yake mwenyewe,kila unaloambiwa changanya na yako,eti mtu anakuambia toka na mwanaume mwingine nawe unakubali,hii inaonyesha jinsi akili zako hazijitoshelezi,unashindwa kukaa chini nakukumbuka mbona alikuwa ananipa haki yangu,jiulize kwanini siku hizi hakupi haki yako.kila mwanaume unayemuona ana mafanikio jua nyuma yupo mwanamke mwenye akili sana....
 
Hahahah una tuvitu flani hivi ambavyo wahuni tunapendaga😂!
Sifa kuu ya wife material haboi.
Atakaye nielewa kwa kweli ataenjoy na mimi. Ingawa pia sina uvumilivu kwenye baadhi ya mambo, hili ni tatizo langu kubwa so atakaye kuwa na mimi awe ni yule anayeweza kunikeep.
Nikisusa na yeye akasusa basi habari inaishia hapo.
 
Hata sisi hatuna uvumilivu kwenye baadhi ya maeneo. Ukileta umama tu biashara inakuwa imeisha otherwise uhusiano unakuwa safe heaven on earth. 😂
 
Wengine wapo fair tu na wanajitambua. Wanajua mara moja moja upo umuhimu wa kujishusha ili kufurahia maisha.

Mtakaa siku zote mmeshupaza misuli ova vifutu ili iwe nini? Furaha ni muhimu katika maisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaongeza siku za kuishi na kupunguza stress za rejareja, Kuna wakati sio mbaya kujishusha Kwa mustakabal na ustawi wa familia
 
Atakaye nielewa kwa kweli ataenjoy na mimi. Ingawa pia sina uvumilivu kwenye baadhi ya mambo, hili ni tatizo langu kubwa so atakaye kuwa na mimi awe ni yule anayeweza kunikeep.
Nikisusa na yeye akasusa basi habari inaishia hapo.
Kwenye "kunikeep" hapo namuachia mzabzab mie ndio kwanza naanza ujenzi 😂
 
Hata sisi hatuna uvumilivu kwenye baadhi ya maeneo. Ukileta umama tu biashara inakuwa imeisha otherwise uhusiano unakuwa safe heaven on earth. 😂
Sasa hapo ni kujuana tu vzr kwamba mwenzangu yupo hivi.
Mapungufu yapo lakini unapima mizani, kama mazuri ni mengi kuliko mabaya na hayo mabaya yanavumilika basi maisha yanasonga.
 
Mkuu nadhani hujawahi kukumbana na stress za maisha, K inashuka thamani kuliko kawaida, huoni thamani yake.

Mhusika akinichefua, Hilo linawezekana japo ni Kwa muda.

Ila Kwa upande wangu, haujawahi kutokea nikawa na stress au mawazo au changamoto ya kunifanya nikashindwa kabisaa Hilo jambo. Nilishaweka wazi nilishindwa kama hajanivuruga, basi atangaze msiba in advance.

Hata niwe na madeni au tozo zimenikinbuza naelekea Burundi, njiani ntaomba tu kiburudisho
 
Kwenye "kunikeep" hapo namuachia mzabzab mie ndio kwanza naanza ujenzi 😂
😅😅😅
Kunikeep nilimaanisha...
Awe ni mtu ambaye ananitaka, anataka niwepo na atafanya juhudi za kuweka sawa tatizo kama likitokea ili turudi normal.

Akipuuza na kujifanya hajali wakati yeye ndo kasababisha wiki mbili ni nyingi atasikia nipo Burundi.
 
Mkuu nadhani hujawahi kukumbana na stress za maisha, K inashuka thamani kuliko kawaida, huoni thamani yake.
Nakumbana nazo sana tu, sema huwezi kuachia stress za maisha kiasi cha kumsahau mkeo mwaka mzima hutaki akuguse, humgusi, husemi chochote, upo upo tu kama zuzu! Sio sawa ni lazima ifike wakati ujue kubalansi la sivyo itakuwa sio haki na haikubaliki.

Basi mueleze tu mkeo kwamba mke wangu eeeeh Nina tatizo la stress za maisha zinanimaliza nguvu kwa sasa uwezo wa kukutomba umepungua naomba nivumilie nitakaa sawa, sasa anakuuliza nini tatizo husemi hell not this way.

Halafu haya ni maisha tu tunapita Haina haja ya kukompliketi saaaana mambo, utapasuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongeza siku za kuishi na kupunguza stress za rejareja, Kuna wakati sio mbaya kujishusha Kwa mustakabal na ustawi wa familia
Hakika.

Tabia za kujiapiza apiza utasikia mtu anasema over my dead body sijui nini na nini , hell noooo! Haya ni maisha tu huwezi kupata kila kitu ukitakacho.

Siku moja moja tunarelax tu na shida zetu zooote tunaziweka kando kwa muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhusika akinichefua, Hilo linawezekana japo ni Kwa muda.

Ila Kwa upande wangu, haujawahi kutokea nikawa na stress au mawazo au changamoto ya kunifanya nikashindwa kabisaa Hilo jambo. Nilishaweka wazi nilishindwa kama hajanivuruga, basi atangaze msiba in advance.

Hata niwe na madeni au tozo zimenikinbuza naelekea Burundi, njiani ntaomba tu kiburudisho
Mke aninyime vingine lakini katu katu asininyime kumarrr, patachimbika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom