MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Atakuwa kwenye ya STDs huyo, anajua akikuambukiza huenda wewe ukachelewa kujua na yeye akawa anajiambukiza anapokutana na wewe
 
Wee mkomalie bwana yaani mwambie hapa leo bila mgegedo mie naenda kutombwer nje huko. Uone kama hajakugegeda. Inabidi unadilike uwe mbogo mwanamke. Ndoa ni kugegedana bwana ndicho ulichofuata na sio chakula maana kwenu ulikuwa unakula.
Shikamoo mzabzab naendelea kumcheki uzalendo ukinishinda nimepanga siku nimcharukie alafu baada ya hapo namuaga naenda kutiwa nje naondoka mbele ya macho yake ili akili imkae sawa maana sasa anakera viwango vya PHD
 
Labda Kama amepata Moto anaogopa kukupa au amegundua una michepuko au Ana stress za maisha,Cha msingi Ni pm na Mimi mke wangu hataki kunipa
 
Mimi nawashangaa kitu kimoja mkuu.
Harufu
Gubu
Na mengine mengi.

Kweli unashindwa kumwambia?
Mbona mimi huku naambiwa au huyu wa kwangu sio wa dunia hii?

Chochote kile nikimkera ananiambia hata kama ni ukweli mchungu. So najua wapi nirekebishe, au akibadilika naweza nikahisi inawezekana sababu ni kitu flani maana ameshaniambia.

Sisi tunaambiana ukweli mwenzako akinuka unamchana live...kapige mswaki, unanuka jasho na mengine mengi.

Sasa nyie mnashindwa nini? Tusipoambiana mapungufu yetu tutadumu vipi kwenye hizi ndoa?

Kila mtu apige kimya tu tukomoane kwenye kunyimana tendo.
Ni sahihi?

Mmekazania kusema itakuwa ananuka, mimi bado sikubaliani na nyie.
 
Usiongee tu sababu bado hayajakukuta na wewe ebu jaribu kufikiria kwa makini alafu uvivae viatu vyangu uone Kama vitakutosha ni mume wangu wa ndoa tunalala kitanda kimoja tunakaribia mwaka hataki kufanya mapenzi nimefanya kila njia imeshimdikana alafu juzi baada ya kutaka kuondoka anasingizia yupo kwenye dozi ya kupunguza mwili huo ni uongo viwango vya mwisho kinachoniuma zaidi inawezekana yeye anafanya uko nje akija Hana habari huo ni ubinafsi tena ni zaidi ya ushetani hata Kama anachepuka angenifikiria na mm mke wake yakishakukuta ndoutanielewa ninachomaanisha
 
Shikamoo mzabzab naendelea kumcheki uzalendo ukinishinda nimepanga siku nimcharukie alafu baada ya hapo namuaga naenda kutiwa nje naondoka mbele ya macho yake ili akili imkae sawa maana sasa anakera viwango vya PHD
Kwani dada huna kwenu?
 

Uko sahihi kabisa, Tena 100%, Kwa namna yeyote ile, suluhu ya mambo hua ni kuongea ( kuzungumza) hapo Sasa inategemea mmeshibana vipi na mpo huru kiasi Gani kuambiana ukweli na kubwa zaidi huo ukweli mnaambiana vipi.

Of course binafsi tunaambiana sana tu, japo Kuna wakati unaona mtu inaniuma baadhi ya mambo ila inakua umeshasema. Hauwezi kunyamaziana na mkeo au Mme wako kama Kuna tatizo mahali.

Na wanaume Kuna vitu vidogo vidogo sana vinatukata mzuka, Sasa usipokua makini inapelekea kumkinai au kukosa ham kabisa na mwenza wako ( nimependa umesisitiza kwamba haitakiwi kuwa hivyo Kwa Mme na Mke).
 
hana hisia na wewe

possibly, K inatema au mdomo unatema ?
Mimi ni mtu mzima na ninajijua Kama ningekuwa na hizo shida nisingekuja kulalamika huku sijawahi kuwa na hizo changamoto za kunuka na Kama ningekuwa nazo ningekuwa muwazi hapa ningeomba ushauri mnisaidie dawa Ila Sina huyu atakuwa tu na matatizo yake pengne kaanza ushirikina kapewa masharti uko
 
Nimepata kitu hapa
 
Kuna tatizo mahala upande wa jamaa,
Yaani haiwezekani from no where usimguse mke wako na unaulizwa husemi tatizo.

Mtu anuke halafu akusumbue hivyo usimwambie? Haiingii akilinii.

Na wasipo zungumza wanatengeneza tatizo lingine.
 

Maisha yana mambo mengi sana, Kuna vitu ni vigumu kuvielezea na havina maelezo ya kueleweka.

Kama imefika mwaka hakugusi, hapo niseme Kuna tatizo na mbaya zaidi, ametoa utetezi mwepesi sana kulingana na ukubwa wa tatizo.

Mawazo ya kwenda kuchepuka yafute kabisa, Wala usiyaruhusu yakae kichwani ukayatafakari, utajikuta unajiingiza kwenye matatizo makubwa na baadae wewe kubeba lawama zote za kuharibika Kwa ndoa.

Mwambie akuonyeshe hizo dawa za dozi anatumia kupunguza mwili, akwambie ameanza lini na atamaliza lini?
 
Usiitumie hasira kufanya maamuzi yatakayo icost ndoa yAko...be positive wakati ukitafta kujua kipi haswa kinampelekea kufanya hivo...ukichepuka utaongeza matatizo kwenye family yAko..usifuate ushauri wa wahuni wa kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…