MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

jf wao wanapokea lolote ila ukikashifu serikali ya ccm wanafuta sio utapeli wa biashara.
 
Sio kweli hizo ni tamaa za mtu sio mfanya biashara mwenye mawazo makubwa. Sasa utampateli mtu kila siku , ila unaweza kufanya biashara na mtu kila siku.
Kutuma hela kwa mtu usiyemjua ni vishawishi vya mtu kukutapeli hata kama hakuwa na hilo wazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…