MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Kwanini mkuu lakini biashara mtandao watu wanafanya
 
Ahaaa!!! Inafikirisha kuna watu wameshakubali kuwa destroyers and you have nothing to do!. Wao kutapeli ,kuiba wameshaona ni kawaida ..wapo heartless
Nimemfuatilia jamaa kama alivyo mtag , jamaa ni smart sana hata kwenye kujieleza halafu pia anaonekana kama ni mjanja sana wa vifaa vya kielectronic , pia ana macho makali ya pesa , kitu kidogo tu no free lunch 🤣🤣 kiufupi jamaa sio Fala na yupo hapa kikazi , na yupo humu kwa id nyingine anatuchora tu🤣
 

Attachments

  • 9FFE69EB-1BFF-4727-9386-FEE8A2611AA4.png
    9FFE69EB-1BFF-4727-9386-FEE8A2611AA4.png
    786.1 KB · Views: 21
  • AA7F9399-89AE-48CD-BAFB-F488EA2AEDD1.png
    AA7F9399-89AE-48CD-BAFB-F488EA2AEDD1.png
    245.3 KB · Views: 20
Mhmm kwani mikoani hakuna maduka ya bidhaa mpaka ununue online?
Ndio Mimi najiuliza...mambo mengine ya kipumbavu sana ya kujitakia. Ndio Hawa Hawa wanawatumia wadada wa huko mitandaoni pesa ya nauli eti waje watombane....na mtaani kwake kumejaa wanawake kibao na wanaojiuza juu .. pumbavu kabisa. Mnatuchosha, tuko na mambo mazito ya nchi hii kuliko hayo ya kujitakia ... upumbavu upumbavu tu.
 
Nimemfuatilia jamaa kama alivyo mtag , jamaa ni smart sana hata kwenye kujieleza halafu pia anaonekana kama ni mjanja sana wa vifaa vya kielectronic , pia ana macho makali ya pesa , kitu kidogo tu no free lunch 🤣🤣 kiufupi jamaa sio Fala na yupo hapa kikazi , na yupo humu kwa id nyingine anatuchora tu🤣
Yes Ila vitu akivyotaka kumuuzia Sim na game kwa 360K ilibidi amshtukie .


Kutapeliwa ni issue ya hisia zaidi when ur too logic ngumu kupigwa japo inawezekana .


Jamaa ni mjanja Ila sio smart IPO siku atakamatika
 
Umetapeliwa kishamba sana !

Ulitakiwa mkubaliane bei, then umuambie aende offc ya kampuni utakayochagua wewe tena uwe na mawasiliano na mtu huyo umtoe hela nzuri, alafu jamaa aende hapo offcn akupigie video call yupo na mtu wa kampuni husika ya mabasi/cargo, alafu mtu wa cargo akishapokea ndo utume hela,,,,, ! Mind you call zote ziwe recorded, pamoja na sms zote tunza na sms za miamala utunze,,,, !!!

Incase lilitokea lotote sasa utadili na kampuni husika !!!!

Pole ngosha, karibu mjini !
Jamaa kasema yuko dubai na mzigo unatoka dubai kuja dar then mwanza, na kitu kingine yeye aniliambia anaenda masokoni kununua sasa nisingempa pesa atatoa pesa yake mfukoni, sawa kanunua kapeleka kwenye ofisi za cargo na mimi huku nikasema sihitaji tena ina maana yeye angepata hasara. Ishu kubwa ni uaminifu tu sio mambo ya ngosha karibu mjini
 

Attachments

  • 9C7B14D8-F34C-428A-A7D9-E341111D783F.jpeg
    9C7B14D8-F34C-428A-A7D9-E341111D783F.jpeg
    281.6 KB · Views: 18
Natumai wote mko salama.

Napenda kushiriki kwa uchungu na tahadhari kuhusu tukio lililonikumba hivi karibuni kupitia jukwaa hili. Niliingia mawasiliano na mmoja wa wanachama humu ambaye aliniahidi kutuma game pamoja na simu Tulizungumza kwa muda, akanivuta kwa uaminifu na hatimaye nikatuma kiasi cha pesa shilingi laki tatu sitini.

Baada ya hapo – mawasiliano yakakatika. Hajawahi kujibu tena, na kila dalili zinaonesha kuwa ilikuwa ni njama ya kitapeli.

Ninachotaka kufikisha hapa ni tahadhari kwa wanajamii wengine:
  • Jihadharini kabla ya kutuma fedha kwa mtu yeyote mtandaoni.
  • Hakikisheni mna uthibitisho wa kutosha kuhusu mtu, huduma, au bidhaa kabla ya kufanya miamala.
  • Kama kuna wasiwasi wowote – ni bora kuuliza kwanza hapa JF au kufanya utafiti wa kina.
Nimesikitishwa sana kwa kuwa nilikuwa na imani kuwa JamiiForums ni jukwaa salama kwa mijadala na hata biashara, lakini tukio hili limenifungua macho. Natarajia uongozi wa JF wataendelea kuweka mazingira salama kwa wote.

Nawashukuru kwa kunisoma – na naomba ujumbe huu uwafikie wengi ili wengine wasije wakakumbwa na hali kama yangu.

View attachment 3357376View attachment 3357377
🤔🤔🤔Mtag
 
Jamaa kasema yuko dubai na mzigo unatoka dubai kuja dar then mwanza, na kitu kingine yeye aniliambia anaenda masokoni kununua sasa nisingempa pesa atatoa pesa yake mfukoni, sawa kanunua kapeleka kwenye ofisi za cargo na mimi huku nikasema sihitaji tena ina maana yeye angepata hasara. Ishu kubwa ni uaminifu tu sio mambo ya ngosha karibu mjini

Yupo dar huyo hayupo Dubai na nimeshanuhisi huyo jamaa .

Kupitia mwandiko wake tu nishamuhisi
 
Back
Top Bottom