MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Kwanini mkuu lakini biashara mtandao watu wanafanya
 
Ahaaa!!! Inafikirisha kuna watu wameshakubali kuwa destroyers and you have nothing to do!. Wao kutapeli ,kuiba wameshaona ni kawaida ..wapo heartless
Nimemfuatilia jamaa kama alivyo mtag , jamaa ni smart sana hata kwenye kujieleza halafu pia anaonekana kama ni mjanja sana wa vifaa vya kielectronic , pia ana macho makali ya pesa , kitu kidogo tu no free lunch ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kiufupi jamaa sio Fala na yupo hapa kikazi , na yupo humu kwa id nyingine anatuchora tu๐Ÿคฃ
 
Mhmm kwani mikoani hakuna maduka ya bidhaa mpaka ununue online?
Ndio Mimi najiuliza...mambo mengine ya kipumbavu sana ya kujitakia. Ndio Hawa Hawa wanawatumia wadada wa huko mitandaoni pesa ya nauli eti waje watombane....na mtaani kwake kumejaa wanawake kibao na wanaojiuza juu .. pumbavu kabisa. Mnatuchosha, tuko na mambo mazito ya nchi hii kuliko hayo ya kujitakia ... upumbavu upumbavu tu.
 
Yes Ila vitu akivyotaka kumuuzia Sim na game kwa 360K ilibidi amshtukie .


Kutapeliwa ni issue ya hisia zaidi when ur too logic ngumu kupigwa japo inawezekana .


Jamaa ni mjanja Ila sio smart IPO siku atakamatika
 
Jamaa kasema yuko dubai na mzigo unatoka dubai kuja dar then mwanza, na kitu kingine yeye aniliambia anaenda masokoni kununua sasa nisingempa pesa atatoa pesa yake mfukoni, sawa kanunua kapeleka kwenye ofisi za cargo na mimi huku nikasema sihitaji tena ina maana yeye angepata hasara. Ishu kubwa ni uaminifu tu sio mambo ya ngosha karibu mjini
 

Attachments

  • 9C7B14D8-F34C-428A-A7D9-E341111D783F.jpeg
    281.6 KB · Views: 18
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”Mtag
 

Yupo dar huyo hayupo Dubai na nimeshanuhisi huyo jamaa .

Kupitia mwandiko wake tu nishamuhisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ