MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Nimetaliwa lakini pia mimi nauza simu za bei rahisi kutoka china
 

Attachments

  • 6047B214-23DC-4EA0-8DFD-C73E16B888C7.jpeg
    415.8 KB · Views: 18
  • C053F366-1AB6-4539-AF35-95BA3C886F40.jpeg
    490.2 KB · Views: 12
  • 2DF46102-14DB-46FA-9225-D4799F11D7A2.jpeg
    404 KB · Views: 16
Mfanyabiashara katapeliwa na mfanyabiashara hii mbaya Sana .

Mimi mwenyewe Dr Haya Land Diplomatic Nigga , A.K.A triple OG nimetapeliwa mwezi wa kwanza

Na watu walionitapeli ni watu wapumbavu walikuja wamevaa ndala wakadai ni madereva wa maroli na walinichota akili wakionesha hadi gesti waliyofikia .

Nikawapa 300K

Ila nilikuja kugundua wamenitapeli nikamkamata mmoja aliyesuka mpango .

Ile watu wanaanza kumpiga akasema yeye ni mgonjwa anaumwa ile kumsearch wakakuta Ana kadi ya kuchukua dawa na kopo lake la Njugu

That was too bad experience na tatizo halikuwa hela Ila lilikuwa negative energy walioniachia kwakuwa Mimi sio MTU wa kufoka I love peace 24/7

So kutapeliwa kupo
 
Pole Sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…