Wanapangalia maneno data zote wanazoMatapeli wa mitandaoni ni gang walio serious sana na maisha ili ukaingize kwenye 18 sasa wangeweka serious kwenye kutafuta riziki kihalali wangekua mbali sana maana huwa wana mipango mikali mpaka mtu unajaa
Wapo ambao wako kama huyo jamaa wanapesa chafu kwa kazi ya nyuma ya keyboard. Wapo matapeli trained kabisa. Wanajua hapa pesa ya kupiga ipo au haipo. Huyo jamaa sio fala kabisa anazijua simu. Akikuweka kwenye mkakati ukiwa mzembe anakupuna pa kubwaMatapeli wa mitandaoni ni gang walio serious sana na maisha ili ukaingize kwenye 18 sasa wangeweka serious kwenye kutafuta riziki kihalali wangekua mbali sana maana huwa wana mipango mikali mpaka mtu unajaa
Naona amepigwa bann tayari ila ndio unakuta ana ID tatu.Nilijuana naye humu ndo maana nimekuja huku
hii ni biashara na vipi kama ingekua kweli uoni kama ningekua nimepiga hatua
HuniweziNingekuroga wewe jamaa
Ok sawa like ten piemuTuta longa mida mida sawa
Karibu sanaa
Tuma pesa uliyonayo kwenye ile namba ya siku zote afu ntakufanyia free delivery kama kawaida yetu 😎Hahaahaaa basi nipe hata nusu ukishindwa hapo nikopeshe nashida sana na hili game ps3 nikanunue leo
Kivip mkuu, na sisi tujifunzeulianza kutapeliwa hapo kwenye Ram 6 Gb 64
Hili halipogo
Kwahiyo mtaalam umepigwa na wataalam wenzio??Siwezi kupinga mimi mwenyewe nauza simu kutoka china yani kuna namna wanafanya wanaongeza storage tofauti na simu yenyewe.
Samsung A32 4G nzuri ya Dubai haishuki 255,000 bei ya kumuuzia winga hiyo.hapa alisema ni ps3 na samsung A32
Lakini sijafanikiwa kanialibia mipango hapa natafuta tena hata game kwa 250000-300000 nashida sana na hii game