kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 4,003
- 10,765
Sasa kama mtu unajua anapopatikana anakutapeli vipi?Mbona marafiki zetu wa kariibu tunaojua physical address zao nao wanatutapeli kama kawaida. Je, tutachomokea wapi ?
Sasa kama mtu unajua anapopatikana anakutapeli vipi?Mbona marafiki zetu wa kariibu tunaojua physical address zao nao wanatutapeli kama kawaida. Je, tutachomokea wapi ?
😹😹😹 Ma fisi a wowoMa fisi aa a wowo,
Mafisi aa, a wowo
Prisy prisy oooh,
Prisy prisy oooh
Wanaijeria kiboko wallah watz hatuna vibe bado 😂 😂😹😹😹 Ma fisi a wowo
Ipo nao siku yao, uzuri wa matapeli wanakuvutia kwanza kabla ya kukupiga..!! 😹😹Jay_255
Vipi kuhusu instagram watu wanauza simu , viatu. na wanatumia majina sio yao wateja wanapata kutoka mikoani hao pia ni maboya
Sikujua hizi bei nilivyoona ps3 laki 220 nikaona inaweza kuwa sawaSamsung A32 4G nzuri ya Dubai haishuki 255,000 bei ya kumuuzia winga hiyo.
PS3 sina hakika sana na bei ila kwa 300k unapata.
Kwahiyo hizo bei zake sio realistic hata uende Dubai hununui kwa hiyo 360,000 yako. Kutapeliwa kunaanza pale unapoambiwa bei isiyowezekana na wewe ukakubali, pale unapoanza kuita wafanyabiashara "wanakupiga, ni wagandamizaji, wanapata faida kubwa" ndipo unaelekea kutapeliwa.
Ndio kitu watu hawajui, wanachoangalia ni "this is easy" kumbe ndo anapoteaSamsung A32 4G nzuri ya Dubai haishuki 255,000 bei ya kumuuzia winga hiyo.
PS3 sina hakika sana na bei ila kwa 300k unapata.
Kwahiyo hizo bei zake sio realistic hata uende Dubai hununui kwa hiyo 360,000 yako. Kutapeliwa kunaanza pale unapoambiwa bei isiyowezekana na wewe ukakubali, pale unapoanza kuita wafanyabiashara "wanakupiga, ni wagandamizaji, wanapata faida kubwa" ndipo unaelekea kutapeliwa.
Huyo kwa tabia aliyoonesha siku akiaga Dunia anaweza akawekwa toharani kwa miaka mingi bila hukumu kufanyika.Milele Amina, tangu mkatumeni wewe ule zaka yangu nimekoma kama secretarybird
Ukifanya Biashara hivi huchelewi kupoteza kila kitu..., haya mambo ni trust na ukishatengeneza Brand basi wateja utawapata zaidi ni hasara kwa mfanyabishara kutapeli Laki na kupoteza future laki nne..., Ni jukumu la mnunuzi kufanya due diligence na lazima kwa mfanyabiashara kama unataka sustainability kuhakikisha unatatua Kero zote hata kwa wateja wasumbufu kuwepo na mawasiliano sometimes ni bora upate hasara kuliko kuua BrandPili biashara za online mara nyingi unalipa ukishapata kitu ulichokitaka otherwise ukilipa kabla lazima wakunyooshe.
Dr. Mariposa naomba buku..!!Ila watu mnajiweza aisee unatuma kabisa pesa kwa mtu humjui, mimi hata buku situmiiii yaani kweli kila mtu yupo tofauti
Kumbe wewe ni roman 😂😂Huyo kwa tabia aliyoonesha siku akiaga Dunia anaweza akawekwa toharani kwa miaka mingi bila hukumu kufanyika.
DIVISHENI FOO ukiendelea kula zaka za waumini utawekwa toharani AKA rumande ya mbinguni 😎.