secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nani na nani mkuu 😀.Kumbe wewe ni roman 😂😂
Nani na nani mkuu 😀.Kumbe wewe ni roman 😂😂
Wewe na division fooNani na nani mkuu 😀.
Nilitaka niulize maana hiyo thread ilifungwa na akaomba radhi, imekuaje tena..??Thread 'Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai' Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai
Una changamoto sana mkuu na hapa Ulionekana wewe ndie MUONGO
SasaThread 'Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai' Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai
Una changamoto sana mkuu na hapa Ulionekana wewe ndie MUONGO
Uoni kama huo uzi ulifungwa baada ya jamaa kunijubuThread 'Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai' Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai
Una changamoto sana mkuu na hapa Ulionekana wewe ndie MUONGO
Sasa baada ya uongozi wa humu kumcheki akatoa sababu hajanitapeli na atanitumia mzigo baada ya wiki lakini mpka sasa wiki imepita hajibu chochoteNilitaka niulize maana hiyo thread ilifungwa na akaomba radhi, imekuaje tena..??
mtoa mada, 'when the deal is too good, think twice'..!!
Natumaini umeona I'd yake imepigwa ban sivyo..? Na haijulikani ni ya muda gani, kama ana nia ovu ndiyo ataitimiza vyema kabisa..!!Sasa baada ya uongozi wa humu kumcheki akatoa sababu hajanitapeli na atanitumia mzigo baada ya wiki lakini mpka sasa wiki imepita hajibu chochote