MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Kuna dada tunafahamiana vizuri kabisa na kanitapeli 350k yangu.
Simu hashiki.
Bado namtafakari.
 
Inasikitisha sana mkuu.
TAmaa mbaya sana. Mim nina jamaa yangu nilimtumia lak 1 n nusu ambayo alitakiwa kuirudisha ndani ya saa moja kama alivyoahidi, ila sasa saa moja imegeuka kuwa wiki, mwezi. Na simu hapokei tena.
 
Sasa muda mwingine Bora ukasema una njaa unaomba msaada wa kula kuliko kuleta udanganyifu, šŸ˜”šŸ˜¢aisee
 
Biashara ya Online ni biashara ya both teams to scam accordingly to the environments yaani unaweza tapeliwa na muuzaji kama ww ndiyo mnunuaji wa bidhaa, au ww muuzaji ukawa sio mwaminifu ukamtapeli mteja.. hapo kuna kuna mstari mwembamba sana unatengenisha hizi scenarios ambao ni IMANI (kua na hofu ya MUNGU) au tunaweza kusema UAMINIFU.
 
TAmaa mbaya sana. Mim nina jamaa yangu nilimtumia lak 1 n nusu ambayo alitakiwa kuirudisha ndani ya saa moja kama alivyoahidi, ila sasa saa moja imegeuka kuwa wiki, mwezi. Na simu hapokei tena.
Watu wakija kuomba, wanakuja vizuri kurudisha inakua mtihani
 
daah maisha haya
kwaiyo huyu mkuu Jay_255 aka JAFFARI YUSUPH wa namba namba 0697850060 ni jangili?
sasa akija na ID mpya itakuwaje
Jamaa sio mtu mzuri hapo anafungua Id mpya anajipanga tena kutapeli, sikuamini kama hata humu kuna watu wenye tamaaa.
 
Jamaa sio mtu mzuri hapo anafungua Id mpya anajipanga tena kutapeli, sikuamini kama hata humu kuna watu wenye tamaaa.
unaweza kukuta tyr nayey ni miongoni mwa hawa wanaochangiia hii nyuzi
 
Back
Top Bottom