MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Humu fanya biashara na verified users tu. Hao wengine ni at your own risk.

Kwa member verified ni rahisi sana kumpata.
Sawa mkuu itabidi unipe elimu jinsi ya kuwa verified member kwasababu mimi nauza simu
 
Matapeli wa mitandaoni ni gang walio serious sana na maisha ili ukaingize kwenye 18 sasa wangeweka serious kwenye kutafuta riziki kihalali wangekua mbali sana maana huwa wana mipango mikali mpaka mtu unajaa
 
Huyo jamaa ni mwamba. Angesingekupiga kwa njia hiyo angepiga kwa kushambulia toka pembeni.
 
Matapeli wa mitandaoni ni gang walio serious sana na maisha ili ukaingize kwenye 18 sasa wangeweka serious kwenye kutafuta riziki kihalali wangekua mbali sana maana huwa wana mipango mikali mpaka mtu unajaa
Wanapangalia maneno data zote wanazo
 
Matapeli wa mitandaoni ni gang walio serious sana na maisha ili ukaingize kwenye 18 sasa wangeweka serious kwenye kutafuta riziki kihalali wangekua mbali sana maana huwa wana mipango mikali mpaka mtu unajaa
Wapo ambao wako kama huyo jamaa wanapesa chafu kwa kazi ya nyuma ya keyboard. Wapo matapeli trained kabisa. Wanajua hapa pesa ya kupiga ipo au haipo. Huyo jamaa sio fala kabisa anazijua simu. Akikuweka kwenye mkakati ukiwa mzembe anakupuna pa kubwa
 
hapa alisema ni ps3 na samsung A32
Lakini sijafanikiwa kanialibia mipango hapa natafuta tena hata game kwa 250000-300000 nashida sana na hii game
Samsung A32 4G nzuri ya Dubai haishuki 255,000 bei ya kumuuzia winga hiyo.

PS3 sina hakika sana na bei ila kwa 300k unapata.

Kwahiyo hizo bei zake sio realistic hata uende Dubai hununui kwa hiyo 360,000 yako. Kutapeliwa kunaanza pale unapoambiwa bei isiyowezekana na wewe ukakubali, pale unapoanza kuita wafanyabiashara "wanakupiga, ni wagandamizaji, wanapata faida kubwa" ndipo unaelekea kutapeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…