SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,020
- 1,057
Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,,
Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru...
Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana...
Soma MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi
Baada ya hapo alichukua Simu akampigia JAMAA kuwa Tangu sasa hataki tena mambo waliyoyafanya yaishie hapo...JAMAA nayeye kamjibu kuwa Kwanza hakutemegea kupigiwa Simu...maana Tiyari ashaingia kwenye Matatizo maana Kuna watu wanamtafuta kwahiyo,,asimtafute tena,,hataki Matatizo.
........
Baada ya kuongea na JAMAA ,,, nilimuuliza swali,,,JE utanihakikishiaje kwamba wewe na JAMAA hamtaendelea...? Maana Muda mwingi nakuwa kazini...
Akasema kama simuamini niweke wapelelezi...
Pili..akasema...kuanzia siku hii hatokuwa na RAFIKI yoyote...,,,ikitokea nikamuona na yoyote hata kama hakuna hatari yoyote Yuko radhi Nimhukumu...
3.ataachana makundi yote....
Na akaongezea kusema kama nitahisi nina mashaka niwekee hata wapelelezi...
4.hataki tena kutumia Simu,,, anasema na yenyewe imechangia pakubwa kufikia hapo... kwahiyo hataki tena kuitumia kwasasa
Baada ya Kusema hayo...mimi sikusema neno lolote...
Ila nilibaki namchora tu,,huku kichwani nawaza hukumu ya Mwisho...kama nitamuacha nihakikishe namuacha kikatili sana,,,
Ila nilichokiwaza kwasasa nataka nijifanye nimemsamehe huku nikimuandalia Bomu kimyakimya,
Japo inauma ndugu ZANGU,,ambavyo sikuwa na mchepuko wowote,,,ila nataka nizoee maumivu kwanza nikiwa nae kwenye Ndoa,,halafu baadae nimuache ghafla kwa surprise