Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

Sasa Ndugu zangu,,,KOSA langu nikumgudua alichofanya...??

JE kama angekuwa anacheat na sijui lolote huoni ilikuwa hatari kuzidi ???

JE na nyie ambao mna wanawake,,,mnajuaje labda wanawacheat kuzidi hata ya kwangu???

Ukiwa unahukumu,,,hakikisha wewe ni mkamilifu....

Afu kitu kingine wanawake wengine tunaoa hawana hata bikra...sasa akikucheat utaachana na wangapi?,,, muhimu amekili,,,JE bila yeye ningeyajuaje yote???

Sawa amekosa,,,ila anaweza kujirekebisha,,,ni Binadamu kama wewe
Uko wapi nije nikuue?
 
Mwanamke sio mjinga ukichelewa kumuacha na hivi umemsamehe pasina sharti lolote yeye anachukulia huo kama udhaifu wako tayari na anajijenga upya kumalizia tukio Mh yajayo yatakufurahisha

Mtu mwenye trauma haponi kirahisi hivyo kuna namna trauma yake inamta uishi nae kikatili ndo anajua unampenda ila ukiiishi nae kwa amani yeye kwake anaona ni tishio tayari jipange unahitaji kumuelewa zaidi na subira
 
Afu kitu kingine wanawake wengine tunaoa hawana hata bikra...sasa akikucheat utaachana na wangapi?,,, muhimu amekili,,,JE bila yeye ningeyajuaje yote???

Sawa amekosa,,,ila anaweza kujirekebisha,,,ni Binadamu kama wewe
Hapa nimecheka sana😂
 
Mtoa mada ww n khuma.

Ww na mkeo wote pipa na mfuniko.
 
Nataka siku hiyo namfukuza ataenda kama alivyo hata Begi la nguo zote nilizowahi mnunulia,,kila kitu atakiacha ataondoka yeye kama alivyo,,aende huko wamnunulia wengine
hapana be a gentleman...siamini kama hakuna mema amewahii kukufanyia all this time...
 
Sasa Ndugu zangu,,,KOSA langu nikumgudua alichofanya...??

JE kama angekuwa anacheat na sijui lolote huoni ilikuwa hatari kuzidi ???

JE na nyie ambao mna wanawake,,,mnajuaje labda wanawacheat kuzidi hata ya kwangu???

Ukiwa unahukumu,,,hakikisha wewe ni mkamilifu....

Afu kitu kingine wanawake wengine tunaoa hawana hata bikra...sasa akikucheat utaachana na wangapi?,,, muhimu amekili,,,JE bila yeye ningeyajuaje yote???

Sawa amekosa,,,ila anaweza kujirekebisha,,,ni Binadamu kama wewe
Mkuu napenda kufahamu kabila la mkeo tafadhali.
 
Back
Top Bottom