Busara zangu umeziona wapi?
Mi nina pumba tu
Karibu,uje kwa Wema!
Maana hamkawii kuja kuanzisha uzi sijui Jf mademu wabaya kama mabundi!
Sasa hutaki kuongelewa kwa zuri wala baya?Aaahhhh sawa , basi sawa mkuu ..soga zenu zijikite katika masuala yenu binafsi nyinyi wenyewe , naamin mnayo mengi eehhh but katika yote hayo Nisingependa kuona Neno lolote liwe baya au zuri kumhusu Vlad putin .
Jikiten katika mambo yenu nyinyi tuu.
Veri simpo iyoo au sio?
Unanunuliwa dada ila nimechelewa kujua nshamnunulia zawadi mwanao jaman.Aaaaa hivi keki huwa unajinunulia au unanunuliwa?Mbona naona unalikwepa hilo dogo?
π π nmecheka kwanguvu woooiiiMtu anajipersonalise 'kitriliogy'!
Watu wa humu hujawazoeaga tu kwani???Wewe umemshaur vema kabisaa , Wala hasiangaike kuwaaminisha kitu, Waamin wasiamin Shauri zao !! ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waone kwanza , ningekua mtoto mimi Africa P , angenipenda?? Kwanza nihiv hawajui ..mtoto piniiiiiiiiii yaan piniiiiii kisu kikaliiiiiiiiii mzuriiiiiiiii yaan mzuriiiiiii alafu anashule kichwan na anakazi yakeee
Alafu msela mimi nipo nipo tuu hahahaha
Wooi[emoji23][emoji23][emoji23]π π nmecheka kwanguvu woooiii
Aaaaaahhhh hapaaaaana nmemshikia tu nafasi Jje's sweetkwani wewe ndo Vladmir Putin? sijaelewa mimi hapa
Busara zangu umeziona wapi?
Mi nina pumba tu
Karibu,uje kwa Wema!
Maana hamkawii kuja kuanzisha uzi sijui Jf mademu wabaya kama mabundi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi kuna faida gan mtu kujitongoza mkuu?? Na kwaajil yann??Vlad anajitahidi sana kujitongoza sijui kwaniniii, simpatii picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana uhuru wa kuwaza hata usisumbuke kuwaaminisha maana hawatakuamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi kuna faida gan mtu kujitongoza mkuu?? Na kwaajil yann??
Sibora umfate dem mmoja PM uanze kumtongoza??
Hapana mkuu,daaah unaona sasa yani kuna mafala mafala yanatuponza saana daah
Well nilichogundua kuchit chat haipaswi kua kosa kwangu....kosa nikuchit-chat naming Vlad ..putin.... na mengine yanayomhusu mchizi .Tumekosea,tusameehane
Ila mbona kawaida tu kuchit chat kwenye nyuzi?
Am 'sole'
One Love!Well nilichogundua kuchit chat haipaswi kua kosa kwangu....kosa nikuchit-chat naming Vlad ..putin.... na mengine yanayomhusu mchizi .
sema bhana ukweli acha utani.. a u the same Putin niliyekuwa namfahamu hapa JF? maana kama ni wewe utakuwa na nyota ya asali...kupendwa na wanawake wengi... na hivyo ukishaniambia ndie nitakuuliza swali lingineAaaaaahhhh hapaaaaana nmemshikia tu nafasi Jje's sweet
Hapana mkuu,
Unafikiri kuumbuliwa kuzuri?
Tuimbe asha anatoka Mwajuma anaingia
Niliwah andika uzi... Nikisema " wanawake wa JF kuwen makini humu,"Basi nahisi JF imekumbumbwa na gonjwa la Janga la Kujihisi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]